Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Muhimu points tatu na ushindi tu haijalishi umeshindaje maana hakuna wa kumsema mwenzie hapa, tutaona kwenye klabu bingwa kisha tukutane mwisho wa msimu, msianze tu zile taarab zenu za "oo hayo ni mashindano ya kina mama" mara "oo timu inashinda kwa magoli ya penati na kona tu"
 
Nakusanya risiti 😃 😃 😃
 
Yahya na Yohana wanapiga mtanange hahaaaa this is kichekesho
Umeazima simu ya shemeji yako uje kubishana sio
20241125_231111.jpg
 
Muhimu points tatu na ushindi tu haijalishi umeshindaje maana hakuna wa kumsema mwenzie hapa, tutaona kwenye klabu bingwa kisha tukutane mwisho wa msimu, msianze tu zile taarab zenu za "oo hayo ni mashindano ya kina mama" mara "oo timu inashinda kwa magoli ya penati na kona tu"
Pole mkuu, japo nimevutiwa na kipaji chako cha kulia live kwa njia ya maandishi.
 
Ligi hii ingekuwa ndege, tungesema Simba yuko zake Business Class habughudhiwi na anapata huduma zote za kikubwa, huyu mwingine anahangaika zake kule Economy Class na kina Fountain Gate.

Ukiwa Business Class, misuguano ya Economy wala hauisikii. Ndiyo kinachoendelea leo.
 
Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    downloadfile-1.jpg
    55.6 KB · Views: 1
Ligi hii ingekuwa ndege, tungesema Simba yuko zake Business Class habughudhiwi na anapata huduma zote za kikubwa, huyu mwingine anahangaika zake kule Economy Class na kina Fountain Gate.

Ukiwa Business Class, misuguano ya Economy wala hauisikii. Ndiyo kinachoendelea leo.
Kamdomo kamdomo
 
Back
Top Bottom