Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Table standings na numbers hazidanganyi.Anayeongoza anajulikana.
 
Kelele za tunamtaka Gamondi sasa kwishei
Baadhi ya mashabiki wa simba ndiyo waliokuwa wakimtaka huyo Gamondi. Ila kwa mashabiki wengi wa Yanga tulishagundua kitambo zama zake zilishapita pale Jangwani.
 
Washiba mihogo wameshasahau walikuwa wakilia na kutukana.Hawana jema hao Side akianza kuharisha matusi yatarudi.
 
Kolo mbona unafta furaha kwa nguvu hivyo
Mmeganda nafasi ya pili kama huyu kiumbe. Hamna pa kwenda yani.

1000036624.jpg
 
Back
Top Bottom