Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Timu zote zinazofungwa na Yanga ni kama zinafanyq mazoezi, hazina nguvu zikifika katikati. Hazi kazi msuli kama zinavyccheza a Simba.
Yanga iweke akiba ya mshtuko ikikutana na team za Caf Championship
simba nayo ilichapwa na yanga

CAF ni suala la muda tutawakanda tu
 
Miliooooooo ya Simba inawauma 🤣🤣

washaanza wasi
 
Utopolo hawatumii akili, Emayel anawajua vizuri.

Tunzeni nguvu zenu kuna mechi muhimu zinakuja. Hata mfunge 7 mtabaki hapo hapo #2.
 
Waliolia msimu huu mbona wanajulikana, tena walianza kulia mapema sana ligi ikiwa ndio kwanza imeanza, nasisitiza mwisho wa msimu tusisikie tu vile vilio vyenu vya magoli
Tahadhari, awamu hii tukiwafunga msiwalaumu wasiohusika.
 
🤣🤣
IMG_4760.jpeg
 
Refa angeliacha tu hilo goli ili wajisifu wana kikosi bora mimi nasema tutaona cafcl, yani timu huku nbcpl inapangiwa vikosi b halafu inajisifu iko vizuri, ngoja wakakutane na wanaojua wanachokifanya huko
 
Back
Top Bottom