Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kolo khamsaPaka vs Paka shume
Hatuangalii timu ambayo hata ikishinda goli 50 haiwezi kuongoza ligi mwaka mzima.Makolo wan kihoro hatari
una angalia timu ambayo inaongoza ligi kwa hofuHatuangalii timu ambayo hata ikishinda goli 50 haiwezi kuongoza ligi mwaka mzima
haiwezi ifikia ile ya 5-1 ile ilikuwa mechi jike ya mapachaKweli hii mechi jike
Hivi leo mnacheza ili iweje? 😂🤣😂una angalia timu ambayo inaongoza ligi kwa hofu
wakikumbuka mzunguko wa pili lazima wacheze na wananchi furaha inapotea
tuondoe kwanza kichaka cha magoli ili mzunguko wa pili tufute kichaka cha pointiHivi leo mnacheza ili iweje? 😂🤣😂