vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama wajela jela.
Timu ya Young Africans inajitafuta kurudi kwenye makali yake baada ya kupata vipigo mfululizo kwenye mechi mbili za nyuma za ligi kuu, je mashine kutoka ujerumani itaweza kufufua matumaini ya wananchi leo kutetea makombe yao kwa kupata alama tatu dhidi ya wajela jela au simanzi kuendelea ndani ya mtaa wa Twiga na Jangwani? Tukae sote kuzishuhudia dakika 90 za mtanange huu wa kukata na shoka hapo baadae saa kumi
Kikosi cha Yanga kinachoaanza leo: