Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

Kuna mhumbumbu mmoja anasema yeye hana la kujutia kwakua Dube hafungi yeye bali ni nguvu za Pastor..
Hili lazima limuume kwakua anacheki Ateba wowowoo anapumuliwa kwa nyuma na mwana mfalme kwa speed ya sgr huku mwana mfalme akitazama wowowoo la Ateba likibiringika tu kila akifanya movement..
Usisahau Ateba wowowoo goli tano tatu kwa penati mwana mfalme goli nne zote bila penati..
 
Kupoteza mechi 3 ilikuwa ni kuyumba na sio kupoteza class waliyonayo yanga,,elewa neno kujitafuta,wamejitafuta kipindi timu imeyumba aijalishi kikosi kilikuwa na upana Gani,,alafu usilinganishe klabu bingwa na kikombe cha ushirikishwaji ambacho yanga kacheza fainali,,timu insyoburuza mkia klabu bingwa ni sawa na timu inayoongoza kundi shirikisho ivyo muwe mnajielewa kabla amjaongea!
Si unaona jinsi mlivyo na akili fupi sasa unaweza kutuambia hiyo kauli ya timu inayoburuza mkia klabu bingwa ni sawa na timu inayoongoza kundi shirikisho ni kwa mujibu wa nani, ingekuwa hivyo basi list ya caf ya vilabu bora africa ingejaa timu zinazoshiriki klabu bingwa tu lakini cha ajabu hadi timu zinazoshiriki shirikisho nazo zipo tena huku simba ikiwa imeiacha mbali yanga, yani unataka kusema kwamba yanga au cbe ni bora kuliko zamalek au berkane kisa tu hao waarabu huwa wanaangukia shirikisho kwamba unataka kulinganisha ligi yetu na za uarabuni au umesahau timu iliyotufunga sisi kule algeria ndio ilikuwa inaongoza ligi huku iliyowafunga ninyi ikiwa ya tano
 
Kateleza kidogo tu ila uhalisia ni kwamba mashindano ya klabu bingwa na shirikisho yamepishana hadhi na viwango vya ubora. Ukiwa timu ya mwisho katika kundi kwenye klabu bingwa ni sawasawa na timu ya 3 kwenye shirikisho hatua ya makundi. Ukiishia robo fainali klabu bingwa ni kama vile umecheza nusu fainali ya shirikisho.
 
Back
Top Bottom