Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

GOLI la NNE la YANGA
Tumefunga kwa MKONO
AKA MKONO WA Mungu

Swali hili GOLI Refa akuliona ama

Na msaidizi akuliona

Mwisho mwelewe tu a marefa feki

Cc mwanayanga
 
Hahaha msimu huu malalamiko fc wanajulikana mbona, tena walianza mapema sana hata kabla ligi haijaanza, mwanzoni timu zilikuwa zinaikamia sana utopolo ila baada ya ushindi wa jana tutarajie mashambulizi kuhamia unyamani
Mtalalamika sana.
 
Usihamishe magori stick kwenye mada mkuu ukitaka twende uko anzisha Uzi wake
Sikujua kwamba kuna Uto ya kupiga bomu mochwari NBCPL na kuna Uto ya kubuluzs mkia CAFCL..

Cha ajabu wachezaji ni wale wale...

Hivi ilikuwaje mkamfukuza yule babu Gamond?
 
GOLI la baka alini ku umbushaa tambwe enzihizoo refaa akaita kati watuu woyooo
 
Back
Top Bottom