Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,448
- 1,311
Kwa umakiniKwa marejeo ya video nimeangalia kwa umakini, aliyeshika ni mchezaji wa Prisons
😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa umakiniKwa marejeo ya video nimeangalia kwa umakini, aliyeshika ni mchezaji wa Prisons
Kama ungekuwa na timu usingeruhusu Mimi wewe kunipa point 3Nimekuuliza swali badala ujibu unauliza swali, unashida wewe mwana?
Nafasi ya pili na point 33 dhidi ya 34 mlizonazo,,leta jingine
Malalamiko yameanza wakati ndio kwanza yanga wanajitafuta,,sasa wakijipata vizuri si mtawaita wachezaji wenu mara tatu kama magori ALIVYOMUITA CAMARA,,uwezo wa timu yako ndio uko ivyo ni WA daraja la hizo timu,,usidhani yanga kwakuwa waliyumba kidogo ndio udhani class ya wachezaji wao imekwisha mlikuwa mnajidanganya sana,,lilikuwa ni suala la muda tu kurudi kwenye ubora wao!Hawa prisons walichofanya leo ni kulegeza ili kesho kutwa wakikutana na simba wakamie, yani leo ukiangalia ni kama hawakutaka kujichosha kabisa hakuna mashambulizi wala kukaba wanatunza nguvu zao kwa ajili ya kesho kutwa, yani ni kama timu za ligi kuu ghafla zimeswitch kutoka kuiogopa na kuikamia yanga hadi kuiogopa na kuikamia simba dooh
Nyie endeleeni kujifariji wakati ndipo uwezo wenu ulipoishia, mkija kushtuka msimu umeisha na hamna kombe lolote, kitu pekee mtakachobaki kujivunia ni kumfunga mtani tuhata yanga pia katunza nguvu kwa ajili ya nyau ko hii inaitwa collaboration
Nimeweka risiti hii ndugu yangu 😃 😀 😀Nyie endeleeni kujifariji wakati ndipo uwezo wenu ulipoishia, mkija kushtuka msimu umeisha na hamna kombe lolote, kitu pekee mtakachobaki kujivunia ni kumfunga mtani tu
Huko cafcl unashika nafasi ya ngapi?Watu wapo Shirikisho na timu zisizojulikana, timu inaitwa Fuc*k shien na bado anahangaikia nafasi ya tatu, anapata wapi nguvu kuzungumzia timu ya CAFCL?? Mbumbumbu will always be MBUMBUMBU
Unateseka😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃Nyie endeleeni kujifariji wakati ndipo uwezo wenu ulipoishia, mkija kushtuka msimu umeisha na hamna kombe lolote, kitu pekee mtakachobaki kujivunia ni kumfunga mtani tu
Goli 23, tumeruhusu 6,,goli difference ni 17,,Simba kafunga goli 29,,ameruhusu 5,,goli difference ni 24,,leta swali jingineMna goli ngapi?
CAFCL mpo nafasi ya ngapi katika kundi lenu?Goli 23, tumeruhusu 6,,goli difference ni 17,,Simba kafunga goli 29,,ameruhusu 5,,goli difference ni 24,,leta swali jingine
Dooh kutoka kuwa na kikosi kipana na kuwauliza watu "we huogopi" hadi leo hii kusema timu inajitafuta kweli maisha yanaenda kasi sana, sasa kama likikosi lipana kama lile mliloona hakuna wa kulifunga hapa afrika limeweza kufungwa na kuburuza mkia huko klabu bingwa siku mkiwa na kikosi kibovu je itakuwaje, kwahiyo simba ikifungwa ina kikosi kibovu ila yanga ikifungwa ni wachezaji tu waliyumba kidogo aloo mashabiki wa yanga mpaka leo sijui huwa mnatumia nini kufikiriMalalamiko yameanza wakati ndio kwanza yanga wanajitafuta,,sasa wakijipata vizuri si mtawaita wachezaji wenu mara tatu kama magori ALIVYOMUITA CAMARA,,uwezo wa timu yako ndio uko ivyo ni WA daraja la hizo timu,,usidhani yanga kwakuwa waliyumba kidogo ndio udhani class ya wachezaji wao imekwisha mlikuwa mnajidanganya sana,,lilikuwa ni suala la muda tu kurudi kwenye ubora wao!
Unatafuta nini bwashee?Kama ungekuwa na timu usingeruhusu Mimi wewe kunipa point 3
Timu ya Yanga kushinda Leo ndio kisukari kikupande mwanetuUnatafuta nini bwashee?
Swali nililo uliza haikuhusu, kaa kimya acha kiherehere
Dube na Bacca wanalingana magoli haya tuje kwa Mzize naye ana goli ngapi hadi sasaUnamjuaa Mpumelelo Dube wewe??.!
Kupoteza mechi 3 ilikuwa ni kuyumba na sio kupoteza class waliyonayo yanga,,elewa neno kujitafuta,wamejitafuta kipindi timu imeyumba aijalishi kikosi kilikuwa na upana Gani,,alafu usilinganishe klabu bingwa na kikombe cha ushirikishwaji ambacho yanga kacheza fainali,,timu insyoburuza mkia klabu bingwa ni sawa na timu inayoongoza kundi shirikisho ivyo muwe mnajielewa kabla amjaongea!Dooh kutoka kuwa na kikosi kipana na kuwauliza watu "we huogopi" hadi leo hii kusema timu inajitafuta kweli maisha yanaenda kasi sana, sasa kama likikosi lipana kama lile mliloona hakuna wa kulifunga hapa afrika limeweza kufungwa na kuburuza mkia huko klabu bingwa siku mkiwa na kikosi kibovu je itakuwaje, kwahiyo simba ikifungwa ina kikosi kibovu ila yanga ikifungwa ni wachezaji tu waliyumba kidogo aloo mashabiki wa yanga mpaka leo sijui huwa mnatumia nini kufikiri
Mjadala ni ligi kuu ama CAFCL? Uzi unasemaje usome upya!CAFCL mpo nafasi ya ngapi katika kundi lenu?
Kwahiyo Yanga baada ya kushinda leo yuko nafasi ya ngapi CAF CL?