Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

Kwangu mimi nimeona mechi ya Yanga vs Mashujaa ndio mechi pekee ambayo Yanga waliupiga ule mpira ambao mashabiki tunatamani kuuona. Kipa, Aziz Ki na Mudathir ndio waliotukwaza
Hivi unajua Aziz Ki alikuwa MVP? Kwa sasa anakukwaza na kipi?
 
Nachopenda lazima Komeni atuwakilishe vema Wana Jangwani. Komeni golikipa mzuri kocha aendelee kumuamini. Kwani hata Diara alipigwa chuma 3 na Tabora United.
 
Hivi unajua Aziz Ki alikuwa MVP? Kwa sasa anakukwaza na kipi?
Umesema alikuwa, ila saivi kawa mpoteza mipira hovyo, mbutua mipira juu ovyo hata kulenga goli kuna mshinda na akilenga ujue kapiga kijishuti cha mtoto. Yaani hana msaada kwenye timu kwa mechi walizocheza hadi sasa.
 
20241222_151356.jpg
 
Huyo Kibabage hakutakiwa kuanza. The same to Farid Mussa aliyeotoka majeruhi ya muda mrefu. Alitakiwa aingie baadaye. All in all, ushindi ndiyo kitu pekee muhimu kwa Wananchi.
Ushibdi ndio kitu kigumu kupatikana leo kwa wananchi.
 
Usihangaike na kuweka hela na mimi,Iweke beting kama unaiamini Team yako.Simple like that.
Omba Goli 4 tu tia mzigo
Achana na betting weka hela na mie niweke hela betting ya Nini mkuu au hautaki
 
Back
Top Bottom