Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Striker ni Atebaa wowowoo aka Ateba zengembe..Dube na Bacca wanalingana magoli. Yupi ndo striker?
Si unaona jinsi mlivyo na akili fupi sasa unaweza kutuambia hiyo kauli ya timu inayoburuza mkia klabu bingwa ni sawa na timu inayoongoza kundi shirikisho ni kwa mujibu wa nani, ingekuwa hivyo basi list ya caf ya vilabu bora africa ingejaa timu zinazoshiriki klabu bingwa tu lakini cha ajabu hadi timu zinazoshiriki shirikisho nazo zipo tena huku simba ikiwa imeiacha mbali yanga, yani unataka kusema kwamba yanga au cbe ni bora kuliko zamalek au berkane kisa tu hao waarabu huwa wanaangukia shirikisho kwamba unataka kulinganisha ligi yetu na za uarabuni au umesahau timu iliyotufunga sisi kule algeria ndio ilikuwa inaongoza ligi huku iliyowafunga ninyi ikiwa ya tanoKupoteza mechi 3 ilikuwa ni kuyumba na sio kupoteza class waliyonayo yanga,,elewa neno kujitafuta,wamejitafuta kipindi timu imeyumba aijalishi kikosi kilikuwa na upana Gani,,alafu usilinganishe klabu bingwa na kikombe cha ushirikishwaji ambacho yanga kacheza fainali,,timu insyoburuza mkia klabu bingwa ni sawa na timu inayoongoza kundi shirikisho ivyo muwe mnajielewa kabla amjaongea!
Kateleza kidogo tu ila uhalisia ni kwamba mashindano ya klabu bingwa na shirikisho yamepishana hadhi na viwango vya ubora. Ukiwa timu ya mwisho katika kundi kwenye klabu bingwa ni sawasawa na timu ya 3 kwenye shirikisho hatua ya makundi. Ukiishia robo fainali klabu bingwa ni kama vile umecheza nusu fainali ya shirikisho.Si unaona jinsi mlivyo na akili fupi sasa unaweza kutuambia hiyo kauli ya timu inayoburuza mkia klabu bingwa ni sawa na timu inayoongoza kundi shirikisho ni kwa mujibu wa nani, ingekuwa hivyo basi list ya caf ya vilabu bora africa ingejaa timu zinazoshiriki klabu bingwa tu lakini cha ajabu hadi timu zinazoshiriki shirikisho nazo zipo tena huku simba ikiwa imeiacha mbali yanga, yani unataka kusema kwamba yanga au cbe ni bora kuliko zamalek au berkane kisa tu hao waarabu huwa wanaangukia shirikisho kwamba unataka kulinganisha ligi yetu na za uarabuni au umesahau timu iliyotufunga sisi kule algeria ndio ilikuwa inaongoza ligi huku iliyowafunga ninyi ikiwa ya tano