Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

Kama kusingekuwa na UPUMBAVU kwenye mpira wa Tanzania. Hii ilipaswa kuwa Moja ya Michezo bora zaidi ya ushindani Tanzania.

Singida wana Quality player kuliko simba. Ingekuwa mechi kali mno.

MASIKINI TANZANIA.
KWAHERI DTB KWAHERI IHEFU.
 
Kama kusingekuwa na UPUMBAVU kwenye mpira wa Tanzania. Hii ilipaswa kuwa Moja ya Michezo bora zaidi ya ushindani Tanzania.

Singida wana Quality prayer kuliko simba. Ingekuwa mechi kali mno.
MASIKINI TANZANIA.
KWAHERI DTB KWAHERI IHEFU.
Uto1 vs Uto2
 
Andika tu kiswahili. Ona sasa kosa la R&L limebadilisha maana ya hoja yako !!.
 
Kama kusingekuwa na UPUMBAVU kwenye mpira wa Tanzania. Hii ilipaswa kuwa Moja ya Michezo bora zaidi ya ushindani Tanzania.

Singida wana Quality prayer kuliko simba. Ingekuwa mechi kali mno.
MASIKINI TANZANIA.
KWAHERI DTB KWAHERI IHEFU.
Si huwa unatubeza Mashabiki wa Utopolo na Makolokolo kuwa ni mataahira sababu tu ya ushabiki wa hizo timu? Unawashwa washwa nini sasa na visivyokuhusu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…