Fawanews.scKuna mwenye link ya kucheck online?
Haiplay, au inahitaji vpn?Fawanews.sc
Ina play vizuri tu nilijaribu ikaplay japo nilitoka maana nipo mahali siwezi kuangalia, ngoja nicheki tena, hio ya channel 1 mbona inaonyesha vizuri tuHaiplay, au inahitaji vpn?
Ok, Simba ilivyofungwa na Yanga ilikua NBC Tandahimba?Yaani ni sawa na NBC - Dar vs NBC - Dodoma.
Singida ni wagumu kugawa utamu kuliko Simba, periodigizo la mama na mwana