Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Anaongelea mashindano yetu ya kutolipana kwa wakati.Mbona walitolewa zamani michuano ya CAF, hiyo mfulilizo imetoka wapi?
Anaongelea mashindano yetu ya kutolipana kwa wakati.Mbona walitolewa zamani michuano ya CAF, hiyo mfulilizo imetoka wapi?
Mbumbumbu katoka mafichoniMbona walitolewa zamani michuano ya CAF, hiyo mfulilizo imetoka wapi?
Mbumbumbu ni mtu, nyani na mbwa ni wanyama 😃😃😃Mbumbumbu katoka mafichoni
Huelewi definition ya derbyHii ndo derby sasa 😃 aisee Kung-fu za kutosha
Kabisa na singidaHii yanga ni kivutio tosha cha soka letu hapa nchini inatoa burudani kwa kuitazama huchoki.
Derby ya GSMHuelewi definition ya derby
Makolo kweli mnamdomo hamjakoma tu.Derby ya GSM
Hata yanga na simba ni familiaYanga na Singida ni familia ni kama Wadudu wa R-chuga na wavuta bangi... ni walewale tu..
Kwani we timu gani?