Mkuu mbona mimi nimemuelewa, mababu hapo anamaanisha Singida wana sala ya viwango kuliko Simba.Andika tu kiswahili. Ona sasa kosa la R&L limebadilisha maana ya hoja yako !!.
Yanga na Singida ni familia ni kama Wadudu wa R-chuga na wavuta bangi... ni walewale tu..
Magoli yapoKapu lilijaa ama?😅😅😅View attachment 3388128
🐸🐸Alikuja ambae sio ndugu yetu akatukimbia baadae akabembeleza akaja tukamchapa!, so hata muite ndugu ama sio ndugu sie twavichapa tu!.
Singida wanashika nafasi ya ngapi? Na kwanini?Kama kusingekuwa na UPUMBAVU kwenye mpira wa Tanzania. Hii ilipaswa kuwa Moja ya Michezo bora zaidi ya ushindani Tanzania.
Singida wana Quality player kuliko simba. Ingekuwa mechi kali mno.
MASIKINI TANZANIA.
KWAHERI DTB KWAHERI IHEFU.
Kapu lilijaa mpaka likageuka kuwa zito kiasi cha kushindwa kubebekaKapu lilijaa ama?[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 3388128
Tumbo kama pakacha la madafu.Kapu lilijaa ama?😅😅😅View attachment 3388128
Inawezekana Ikawa Kweli Ya Kwamba Singida Wana Quality Prayer,,,Simba Wanae Mwamposa...Andika tu kiswahili. Ona sasa kosa la R&L limebadilisha maana ya hoja yako !!.
Uto1 vs Uto2
Muhimu tubebe malipo tutajuana mbele kwa mbele.Tunabeba ila malipo TFF wanatuibia
Cookie au Active twende Live sasaMatch Day.
View attachment 3387933
#Daimambelenyumamwiko#
Kikosi cha Yanga Kinachoanza.
View attachment 3388662
Kikosi Cha Singida Black Stars
View attachment 3388699