Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
Mama double 2 umeona wananchiiiiiiiiiiiiiii
Kwani we timu gani?Ok, Simba ilivyofungwa na Yanga ilikua NBC Tandahimba?
😄😄Nawaonaaa mah nasubir hapa hadi mwishoMama double 2 umeona wananchiiiiiiiiiiiiiii
usitoke uhondo upo humu😄😄Nawaonaaa mah nasubir hapa hadi mwisho
Kufika nimefika nitoke niende wapiiusitoke uhondo upo humu
NBC msimbaziOk, Simba ilivyofungwa na Yanga ilikua NBC Tandahimba?
KaribuKufika nimefika nitoke niende wapii
Mbona walitolewa zamani michuano ya CAF, hiyo mfulilizo imetoka wapi?Wachezaji wa yanga wamecheza mechi mfululizo ukiangalia unaona kabisa wamechoka ila watashinda kikubwa
na Tabora United ya Christina MwagalaHahaahaaaaaaaa hii Yanga imebaki kufungwa na mahakama tu .