Hela zenu tff this time watawadumbukizia moja kwa moja kwa account yenu 🤣🤣🤣🤣
Hadi wewe?Yanga bingwa.
PorojoMsimu umeisha Wananchi tuna makombe matano.
Kuna mabingwa wa mipasho na matusi na majigambo aka mikia fc aka makolo! Walijitapa kuwa na kibegi cha makombe, msimu umeisha hawajapata hata kikombe cha kahawa.
🤣🤣🤣🤣🤣 ndio.Hadi wewe?
Kazi kweli!!🤣🤣🤣🤣🤣 ndio.
Bff ulipotelea wapi?Mapema leo
View attachment 3388946
Kwanini?Kazi kweli!!
BFF nilikuwa na majukumu mazito, miss youBff ulipotelea wapi?
Bahati nzuri Yanga ya Dsm na Yanga ya mkoani zote zimekubemendaDula Vs Abdallah
Yanga ya Dar Vs Yanga ya Mkoani
Kalpana na mqenzio cocastic njooni muone wanaume huku wananyanyua makwapa tuustudio tuleteeni wadhamini
👇👇View attachment 3388842
Karibu tena.BFF nilikuwa na majukumu mazito, miss you