Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

Msimu Huu Yanga[emoji169][emoji617][emoji172]

Ngao ya Hisani [emoji471][emoji736]
Toyota Cup[emoji471][emoji736]
Kombe La Muungano[emoji471][emoji736]
NBC PREMIER LEAGUE[emoji471][emoji736]
CRDB FEDERATION CUP[emoji471][emoji736]

Vipi timu yako imebeba vikombe vingapi msimu huu? [emoji16]
 
Msimu umeisha Wananchi tuna makombe matano.
Kuna mabingwa wa mipasho na matusi na majigambo aka mikia fc aka makolo! Walijitapa kuwa na kibegi cha makombe, msimu umeisha hawajapata hata kikombe cha kahawa.
 
Porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…