Unamaliza all the best zako bureee. anapigwa huyo.
Kwani mazembe sio kibonde?Baada ya Game mazembe itaitwa kibonde...
Yanga 3 mazembe 0
Akicheza na YangaKwani mazembe sio kibonde?
Miko tayari wanayo, labda kuichomoa na kuchomeka upya.Kuna kila dalili ya Utopolo kuinjikwa miiko nyuma
Hata akicheza na namungo mazembe ya sasa hivi ni unga bin mdebwedo yaani imeshajifiaAkicheza na Yanga
Ahsante jirani Wananchi tupo tayari.
Haha wacha nianze kuelekea neshno hapo nikapate burudaniHahahaa. Leo furaha kama zote Mzab.
Hivyo bwaga moyo wako.
Nitafute Mzab na mie naja. Teh teh.Haha wacha nianze kuelekea neshno hapo nikapate burudani
Ubaya ubwelaaaaAhsante jirani Wananchi tupo tayari.
Gusa, achia, twende kwao