FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Leo 4/1/2025 ndio siku rasmi ya nyuma mwiko kuyaaga mashindano na tp englabaa mazembe atawachimbia yanga kaburi na kuwazika wazima wazima.

Naomba tuwaimbie mapambio yanga;

Parapandaa, italia parapandaa
Parapandaa, italiaa parapandaa

Watakuwa wamekwisha kumlaki bwana yesu mawinguni

Parapandaa, italia parapanda
Parapandaa, italia parapanda

Tp mazembe 2 Wachawi fc 0.

"KAFA PAKA, KAZIKWA NYAU"

"A man called Gonamwitu"
 
leo mishenyeto inaendelea kuna team mbili leo
wacongo wenyewe
wacongo fake wale walionyofoa viti

wote watashenyetwa kwa zamu leo
yanga 3
mazembe 1
dube moja, mzize moja na pacome 1 assisted by aziz ki
 
Kunguru wa Lubumbashi msituangushe, maana tumekaa kinyonge sana
IMG_4782.jpeg
 
Njia pekee ya kuwa mzalendo ni kujifunza kamari, kwenye mazingira kama haya unaweka pesa Yanga ashinde maana sioni njia nyingine yoyote chini ya jua ya kuwaombea hawa vyura matokeo mema.
 
Back
Top Bottom