FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Kuna mchezaji mpya, nimemuona leo. Yanga tunaweza kuruka naye. Aliletwa akaangalia mpira, nikamfumania parking anaondoka. Yajayo yanafurahisha. Timu anayoichezea nimeisahau kwa furaha niliyonayo.
Anachezea As Vita ya Congo anacheza winger zote mbili na striker wa kati jamaa kifaa hasa na anajua kufunga babu Zimbwe na Kapombe watavunjika migongo jamaa ana speed balaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…