Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hahaa nataka nijue tu jamaniHaikuhusu.. !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa nataka nijue tu jamaniHaikuhusu.. !
Hahaha uto watatoboa kweli mzee baba?Kama aliyopo Simba SC kwenye kundi lake mwanetu 😀
Ndio mkuuHahaha uto watatoboa kweli mzee baba?
😀😀😀😀Hongera sana mtani,kazi nzuri mnooo.
Mnisamehe kuwaombea mabaya ila kama mmebahatisha hivi😂😂
Bata bukini weSiku zinakimbia aisee,ishafika siku ya Yanga kuendelea ku maintain point yake Moja.
Atakaekuwa na link a share nasi mapema.
Lolote baya liwakute.
Yaani watu kamdomoComment za kule mwanzon nikisoma Nacheka sana 🤣🤣🤣🤣
Jamaa ana ubishi wa kitoto na wivu
Pole na ajali bro unaendeleaje?!😀😀😀😀
Umerudi wewe kengeNdio hivyo mkubwa, nitarud hapa baadae, acha kwanza nifike Iringa.
Nipo fresh sijaumia sana ndugu yanguPole na ajali bro unaendeleaje?!
Mbishi sana jamaa 😀 Leo waarabu watamfunga huyuJamaa ana ubishi wa kitoto na wivu
God bless you. Nipo bundesliga mwanza nalewa hapa daily na muda huuNipo fresh sijaumia sana ndugu yangu
Pamoja sana ndugu yangu 😃God bless you. Nipo bundesliga mwanza nalewa hapa daily na muda huu
Kama yanga mechi ijayo nakuja huko daslamu.Pamoja sana ndugu yangu 😃
Karibu sana ndugu yangu saivi Yanga gari limewaka hatufungwi tenaKama yanga mechi ijayo nakuja huko daslamu.
Mr. KumaloKundulo
Hadi sasa ramli inaonyesha Waarabu wanawapiga kuanzia tatu.Shindwa pepo mchfu...
Ila haina shida kila mtu ashinde mechi zake..
Anachezea As Vita ya Congo anacheza winger zote mbili na striker wa kati jamaa kifaa hasa na anajua kufunga babu Zimbwe na Kapombe watavunjika migongo jamaa ana speed balaa..Kuna mchezaji mpya, nimemuona leo. Yanga tunaweza kuruka naye. Aliletwa akaangalia mpira, nikamfumania parking anaondoka. Yajayo yanafurahisha. Timu anayoichezea nimeisahau kwa furaha niliyonayo.