Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Wachezaji wazoefu wanapoondoka, wanasajili upya na kuanza kujenga team mpya, has nothing to do na uzoefu maana huna kikosi kile kileKwani TP Mazembe wanatengezaje timu upya, ni wageni kwenye mashindano?
Wachezaji kuhama ni sehemu ya kuboresha tena.
Yanga ameondoka Mayele, Kisinda, Morrison, Jesus, Bangala, Djuma Shaban, Feisal na Yanga ipo
Man city walianzia wapi? Real madrid na barca baada ya miaka kadhaa wanaanza upya, liverpool the same mpaka wakalijapata?
Lakini katika kutafuta dream team lazima wateseke. Huwezi sajili wachezaji wapya na team ikafanikiwa hapo hapo
Kuna period ya kujitafuta
Ni kipindi team yoyote inapitia, katika kurudi kwenye mafanikio