FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Kwani TP Mazembe wanatengezaje timu upya, ni wageni kwenye mashindano?
Wachezaji kuhama ni sehemu ya kuboresha tena.
Yanga ameondoka Mayele, Kisinda, Morrison, Jesus, Bangala, Djuma Shaban, Feisal na Yanga ipo
Wachezaji wazoefu wanapoondoka, wanasajili upya na kuanza kujenga team mpya, has nothing to do na uzoefu maana huna kikosi kile kile

Man city walianzia wapi? Real madrid na barca baada ya miaka kadhaa wanaanza upya, liverpool the same mpaka wakalijapata?

Lakini katika kutafuta dream team lazima wateseke. Huwezi sajili wachezaji wapya na team ikafanikiwa hapo hapo
Kuna period ya kujitafuta
Ni kipindi team yoyote inapitia, katika kurudi kwenye mafanikio
 
Wamama wapo shirikisho
Wanaume tumecheza Leo
Kesho ni rede
Wamama ni hao ambao tunawaona kwenye nembo ya timu.

Na ndio maana waliposhiriki Confederation tuliyaita mashindano ya kina mama.

Wamana hoyeeee
 
Wachezaji wazoefu wanapoondoka, wanasajili upya na kuanza kujenga team mpya, has nothing to do na uzoefu maana huna kikosi kile kile

Man city walianzia wapi? Real madrid na barca baada ya miaka kadhaa wanaanza upya, liverpool the same mpaka wakalijapata?

Lakini katika kutafuta dream team lazima wateseke. Huwezi sajili wachezaji wapya na team ikafanikiwa hapo hapo
Kuna period ya kujitafuta
Ni kipindi team yoyote inapitia, katika kurudi kwenye mafanikio
Nimekupa orodha ya wachezaji wa Yanga waliohama
Tp Mazembe tuliwafunga nje ndani mwaka 2022, mkasema wameshuka
Next year wanacheza semi final, mkasema ubora umerudi
Leo tunawafunga mnasema wanajitafuta tena
 
Sio kwamba wamama wameenda Tunisia kudanga Kwa warabu
Sidhani maana sijasikia tamko lolote kutoka kwenye club yao la kuashiria kuna safari.

Na sijajua waende Tunisia kufanya nini kwani kuna tournament ya mapishi inayoendelea huko?
1736010218562.jpeg
 
Wivuuuu, mamaa wivuuu Yanga hatucheki na wowote. Tunachukua kombe tena.
La mwaka jana mlimkodishia nani mpaka muanze kuweka mikakati ya kulichukua tena?

Haya kalichukueni hilo maana ni haki yenu.
 
Back
Top Bottom