Kweli kabisa kaka ake na huwa naamini hivyo mi pia.Maisha hayana mshindi pambana kutafuta peace of mind. Maisha halisi ni yale ambayo unayaishi yanayokupa furaha na amani, kwa kujikubali ulivyo na kufanya yale yaliyo ndani ya uwezo. Pambana jichunguze ujielewe wewe ni nani hapa duniani then do your thing pambana na maisha haya na mahitaji yake lakini usiyaruhusu yakuzuie kupractise ule utu wako wa asili uliozaliwa nao, ile talanta, kile kipaji, ule uwezo wako, ile sifa yako unique, kwa ufupi maisha huwa tunatafuta peace of mind, na hiyo peace of mind haiwezi kuja kwa kuwa na mambo mengi ya duniani, katika maisha ukishakuwa na nyumba yako nzuri ya kuishi, ukaishi kwa amani na upendo na familia yako, hausumbuki na kuwaza pesa ya kula, una uwezo wa kusomesha watoto wako pasipo mashaka, uko na usafiri wako (kwa maisha ya kibongo bongo), ukawa na afya njema na mengineyo yafananayo na hayo hakika utakuwa na furaha ya maisha yako.
emmyta habari za muamko dadake?
Siyo mara kumi ni zaidi ya mara 30.Utajiri unazidiana. Ili Bakhresa ampate Dangote basi ajichangechange mara kumi ya sasa
Nakubaliana na msemo wako,uko sahihi!Ni kawaida mabepari kuwanyonya wafanyakazi wao.
Yeye ni mkeweImeonyeshwa kwa ndani tu Mkuu wewe umejuaje kma sio ya masaki?
Au wewe ndye motto wa bhakresa
Hakika maana anabisha kinoma yaniYeye ni mkewe
Namba D kitu gani,umeona hyo aston martin japo ni bzl? Hzo rolls royce je? Japo ni namba BGari lisiwe la gharama lakini liwe namba D kama hiyo Range
Namba D kitu gani,umeona hyo aston martin japo ni bzl? Hzo rolls royce je? Japo ni namba B ,nyie ndo malimbukeni wa magari,unaangalia D tu?Gari lisiwe la gharama lakini liwe namba D kama hiyo Range
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Utajiri unazidiana. Ili Bakhresa ampate Dangote basi ajichangechange mara kumi ya sasa
Barabara hizi hizi mkuu,sema tu hujawahi kukutana nazo nikupe info tu tembea sana usiku utakutana na magari makali tu barabaraniHizo low riders hapa Tz anaziendesha barabara hani??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tenda yaliyo Mema utavikuta Peponi, Duniani Wewe tayari ni fungu la kukosa