Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Maisha hayana mshindi pambana kutafuta peace of mind. Maisha halisi ni yale ambayo unayaishi yanayokupa furaha na amani, kwa kujikubali ulivyo na kufanya yale yaliyo ndani ya uwezo. Pambana jichunguze ujielewe wewe ni nani hapa duniani then do your thing pambana na maisha haya na mahitaji yake lakini usiyaruhusu yakuzuie kupractise ule utu wako wa asili uliozaliwa nao, ile talanta, kile kipaji, ule uwezo wako, ile sifa yako unique, kwa ufupi maisha huwa tunatafuta peace of mind, na hiyo peace of mind haiwezi kuja kwa kuwa na mambo mengi ya duniani, katika maisha ukishakuwa na nyumba yako nzuri ya kuishi, ukaishi kwa amani na upendo na familia yako, hausumbuki na kuwaza pesa ya kula, una uwezo wa kusomesha watoto wako pasipo mashaka, uko na usafiri wako (kwa maisha ya kibongo bongo), ukawa na afya njema na mengineyo yafananayo na hayo hakika utakuwa na furaha ya maisha yako.

emmyta habari za muamko dadake?
Kweli kabisa kaka ake na huwa naamini hivyo mi pia.

Nzuri kabisa kaka namshukuru m'mungu nimeamka salama nalijenga Taifa. Sijui kwako bro jumatatu inasemaje?
 
Utajiri unazidiana. Ili Bakhresa ampate Dangote basi ajichangechange mara kumi ya sasa
Siyo mara kumi ni zaidi ya mara 30.
Bakhresa siyo bilionea in usd according to forbes, wakati dangote ni bilionia wa more than 27 bils usd.
 
Penye magari kama haya kunakuwa na barabara zinazofanana nayo, sasa sijui anayaendeshea wapi kwa bongo yetu!
 
IMG_20170918_121644.jpg
Hii familia wako vizuri.hawa ni vijana wa mzee bakhressa ukimuondoa huyo abdul mohamed
 
Namshukuru MUNGU kwa Kidogo hiki, ambacho hata bodaboda kitendawili
Lakini maisha yangu yanaenda, utadhan sio tz
 
Aisee..wacha nisubiri ugali dagaa hapa chini ya mgomba
 
Back
Top Bottom