Acha wivu wewe mihogo umemaliza?Backhresa ndo nani?
Kuna mabandiko kadhaa humu nimetoa ufafanuzi kwa watu wenye kuhoji kama wewe. Fuatilia kusoma majibu yangu utaelewa vyema. Kila la kheri.Kwani yeye amesemaje jamani? Hebu nieleweshe kidogo
Kwani bia ndio starehe ya kila mtu?Hela zote hata bia anywi sasa sijui anafaidi nini?
Asante kunichekeshaHela zote hata bia anywi sasa sijui anafaidi nini?
Ngoja wakadiriaji wa kodi waje, tuombe Mungu kuwa ana ushirikiano mzuri na watawala.He deserves kutokana na utajiri anaomiliki.,
Muda baba yake anawekeza, mzee wako alikua busy na manati nini.......Hii video chini inaonesha maisha halisi ya Yusuph Salim Bakhresa , Na Mali anazomiliki ndani.
Magari ya kifahari zaidi ya 20 ndani, Na mengine jionee
Kwani bia ndio starehe ya kila mtu?
Mimi binafsi nina hela za bia laki sikosi kila siku faida ila hicho kinywaji situmii.
Umekosea. Ungemwambia aache kushabikia Siasa kwenye mitandao.Tafuta nawe utapata tu, ila acha dhambi
Huyu aliyepost ana shida gani? Badala ya kufurahia na kumpongea unamwonea gere! Uswahili mtupu!Tafuta nawe utapata tu, ila acha dhambi
Si bure utakuwa na matatizo makubwa kwenye Ubongo.Bashite kesho ataenda kuanzisha visa apate ata moja wapo ya gari hizo