Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Hela zote hata bia anywi sasa sijui anafaidi nini?
 
Hela zote hata bia anywi sasa sijui anafaidi nini?
Kwani bia ndio starehe ya kila mtu?
Mimi binafsi nina hela za bia laki sikosi kila siku faida ila hicho kinywaji situmii.
 
Aisee kuna watu wanaishi utadhani ni peponi
 
Beautiful house. Congratulations for excellent taste!
 
Hivi Wasukuma na zile pesa za Kuhangelwa. Unakuwa tajiri mkubwa halafu unalala chini.
Bado wapo?

Raha ya pesa ni matumizi.
 
Back
Top Bottom