Jean Mlisu
Member
- Jan 5, 2017
- 20
- 7
Ndio hivyo maisha unaweza kuwa na vyote vya dunia hii lakini ile furaha ya moyo ikawa ndogo piaKweli kabisa kaka ake na huwa naamini hivyo mi pia.
Nzuri kabisa kaka namshukuru m'mungu nimeamka salama nalijenga Taifa. Sijui kwako bro jumatatu inasemaje?
Aisee..wacha nisubiri ugali dagaa hapa chini ya mgomba
Misemo ya walokole ya kujifariji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha wanafunga vitambaa kichwaniWakati Bakhresa anahangaika kutafuta pesa, wazee wetu wenyewe walikua ndo wanajifanya wasela wa mtaa!
Ona sasa tofauti imeonekana!
Na ndio inavyokuwa kwa baadhi ya watu yaani unakuta ana kila kitu lakini furaha ya moyo ni ndogo.Ndio hivyo maisha unaweza kuwa na vyote vya dunia hii lakini ile furaha ya moyo ikawa ndogo pia
Nafurahi kuwa uko salama wa afya njema, mimi pia niko salama kabisa dadake nashukuru Mungu
Nikutakie tu siku njema dadake
Na kuona kwa mkanada hapo"IT DEPENDS DA WAY YOU KICK DA BALL SIR",Dah acha mimi niendelee kuishi chumba na sebule Tegeta kwa Ndevu.
Uwe unasoma heading kwanza. Unakurupuka tu ..au una kidagaa kimekukwama..si amesema nyumba ya mtoto wa yule mzee muuza azam juice auAcha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Pathetic swine!Uwe unasoma heading kwanza. Unakurupuka tu ..au una kidagaa kimekukwama..si amesema nyumba ya mtoto wa yule mzee muuza azam juice au
Hivi ilikuaje mkuu kipindi ichoWaulize kina mkapa na sumaye nini kilitokea baada ya kumwaga unga wa Bakhresa kwa figisu.Bashite aendelee na haohao kina GSM,bakhresa ni moto mwengine aisee.