Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Kweli kabisa kaka ake na huwa naamini hivyo mi pia.

Nzuri kabisa kaka namshukuru m'mungu nimeamka salama nalijenga Taifa. Sijui kwako bro jumatatu inasemaje?
Ndio hivyo maisha unaweza kuwa na vyote vya dunia hii lakini ile furaha ya moyo ikawa ndogo pia

Nafurahi kuwa uko salama wa afya njema, mimi pia niko salama kabisa dadake nashukuru Mungu
Nikutakie tu siku njema dadake
 
Unaweza kuhisi ni showroom aisee

Hilo jumba unaweza kuhisi umeingia kwenye mall[emoji23][emoji23]
 
Atazikwa nayo? Asaidie maskini kuliko hayo anayofanya hayana mashiko sana
 
"IT DEPENDS DA WAY YOU KICK DA BALL SIR",Dah acha mimi niendelee kuishi chumba na sebule Tegeta kwa Ndevu.
 
Ndio hivyo maisha unaweza kuwa na vyote vya dunia hii lakini ile furaha ya moyo ikawa ndogo pia

Nafurahi kuwa uko salama wa afya njema, mimi pia niko salama kabisa dadake nashukuru Mungu
Nikutakie tu siku njema dadake
Na ndio inavyokuwa kwa baadhi ya watu yaani unakuta ana kila kitu lakini furaha ya moyo ni ndogo.

Ahsante sana kaka ake. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Uwe na jioni njema
 
Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Uwe unasoma heading kwanza. Unakurupuka tu ..au una kidagaa kimekukwama..si amesema nyumba ya mtoto wa yule mzee muuza azam juice au
 
MALI nyingi na Maisha yangekua na maana kama tungekua tunaishI MILELE!
Imagine atakufa aache izo mali.
Aliyeleta kifo alaaniwe
 
Back
Top Bottom