Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Unachoshangaa nn akati kila siku king'amuzi kimeisha unakimbilia fasta kurecharge mkuu. Huku channel zenyewe za ujanja ujanja tuuu price kuubwaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Hajui vihela vyake ndio vinamfanya bakharesa aishi kama paradiso
 
Imeonyeshwa kwa ndani tu Mkuu wewe umejuaje kma sio ya masaki?

Au wewe ndye motto wa bhakresa

Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.

Hapo ni kwa Mwanae yule na gari Nyingine hapo naona na yule mwanae aliefariki hyo ferrari ndo alikua mpenda magari ya kifahari Mzee Said sio mpenda vitu vya anasa sana.
Mashemeji bwana wanajua kila kitu. Wanajua hii Nyumba ya mume WA dada na hii sio ya mume wa dada. Yaani nyumba imeonyeshwa kwa ndani hao washajua. Mpo juu mashemeji undeni chama chenu.
 
Mashemeji bwana wanajua kila kitu. Wanajua hii Nyumba ya mume WA dada na hii sio ya mume wa dada. Yaani nyumba imeonyeshwa kwa ndani hao washajua. Mpo juu mashemeji undeni chama chenu.
Kama wewe unavyojua za mabaragumu wako sio!
Pathetic swine!
 
Hii video chini inaonesha maisha halisi ya Yusuph Salim Bakhresa , Na Mali anazomiliki ndani.

Magari ya kifahari zaidi ya 20 ndani, Na mengine jionee

Pamoja na hayo aliwahi kusomeshwa namba na Mkapa
Serikali ya Mkapa ilivyomfanyia hujuma Bakhresa kisa kuipa msaada CUF, akashitaki na kulipwa fidia ya mabilion

MAISHA KAMA HAYA HAYANA MAANA IKIWA UMEZUNGUKWA NA MASIKINI WENGINE WANALALA NA NJAA. HAYANA BARAKA WALA MAANA. TAJIRI KUINGIA MBINGUNI NI VIGUMU KAMA TEMBO KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO.. HATA KAMA UNA NYUMBA YA VYUMBA YA VYUMBA MIA MOJA UTALALA CHUMBA KIMOJA TU. HATA KAMA UNA MAGALI MIA MOJA NI MOJA TU UTATUMIA. NA SIKU YA KIFO NI MWILI WAKO TU UTAFUNGWA KWENYE SHUKA NA KUZIKWA KWENYE NAFASI NDOGO TU PEKE YAKO. NA HII NDIYO BILL GATES TAJIRI MKUBWA MAREKANI, ANASAIDIA MASIKINI, ANASAFIRI ECONOMY CLASS, NA ANSISHI MAISHA YA KAWAIDA.
 
Mi namwambia tu msukuma wetu aache kuwaonea wivu watu wanaoishi kama malaika il-hali historia ya maisha yao ktk swala la utafutaji linajulikana na kuonekana machoni mwa kila mtu,leo hii wivu na chuki isikufanye uumie roho kwa wao kuishi kama malaika

Lkn sio kwa migari ile haki ya Mungu,Mzee Bakhresa kapata watumiaji aisee...
 
MAISHA KAMA HAYA HAYANA MAANA IKIWA UMEZUNGUKWA NA MASIKINI WENGINE WANALALA NA NJAA. HAYANA BARAKA WALA MAANA. TAJIRI KUINGIA MBINGUNI NI VIGUMU KAMA TEMBO KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO.. HATA KAMA UNA NYUMBA YA VYUMBA YA VYUMBA MIA MOJA UTALALA CHUMBA KIMOJA TU. HATA KAMA UNA MAGALI MIA MOJA NI MOJA TU UTATUMIA. NA SIKU YA KIFO NI MWILI WAKO TU UTAFUNGWA KWENYE SHUKA NA KUZIKWA KWENYE NAFASI NDOGO TU PEKE YAKO. NA HII NDIYO BILL GATES TAJIRI MKUBWA MAREKANI, ANASAIDIA MASIKINI, ANASAFIRI ECONOMY CLASS, NA ANSISHI MAISHA YA KAWAIDA.
Bilgate si tajiri mkubwa marekani tu ni Dunia kwa ujumla lkn asikudanganye mtu Bilgate pia ana very most luxurious yatch,jets,cars and houses zenye thamani ya mamilioni ya madola hizo mambo za yeye kuonekana kawaida ni kwa sababu yeye ana funds zenye malengo ya kuwasaidia na kupunguza umaskini especially Africa na Asia akishirikiana na mkewe

So kwa sababu anapata fursa ya kukutana na maskini wa hali mbalimbali Dunia hiyo imempelekea yeye kuwa na muonekano ule mbele ya jamii

Lkn unapofika mda wa kula bata hizo economic whatever huwa hazihusu,vile vile kumbuka huyo ni mtoto wa tajiri sio tajiri mwenyewe yaani sio yule Bakhresa ambaye ndo fighter no 1# wa huo utajiri ambaye wengi wetu hata sura yake kuiona nadra sana..
 
MAISHA KAMA HAYA HAYANA MAANA IKIWA UMEZUNGUKWA NA MASIKINI WENGINE WANALALA NA NJAA. HAYANA BARAKA WALA MAANA. TAJIRI KUINGIA MBINGUNI NI VIGUMU KAMA TEMBO KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO.. HATA KAMA UNA NYUMBA YA VYUMBA YA VYUMBA MIA MOJA UTALALA CHUMBA KIMOJA TU. HATA KAMA UNA MAGALI MIA MOJA NI MOJA TU UTATUMIA. NA SIKU YA KIFO NI MWILI WAKO TU UTAFUNGWA KWENYE SHUKA NA KUZIKWA KWENYE NAFASI NDOGO TU PEKE YAKO. NA HII NDIYO BILL GATES TAJIRI MKUBWA MAREKANI, ANASAIDIA MASIKINI, ANASAFIRI ECONOMY CLASS, NA ANSISHI MAISHA YA KAWAIDA.
Bill anaishi maisha ya kawaida wakati nyumba yake anayoishi tu ina thamani ya $125 Million ambazo ni zaidi ya Sh 250 Billion za Tanzania.

Kwamba anasafiri kwa kutumia economy class!!! You can't be serious!! Why should he?! Kwanini asafiri kwa kutumia economy class au hata first class wakati ana ndege yake binafsi?!
 
Maa sha allah

THIS IS NOT LUCKY BUT IT IS MISFORTUNE, YOU CAN NOT BUILD A SWIMMING POOL AROUND THIRSTY POOR PEOPLE. THAT IS BEING STUPID. NO WONDER MOST MUSLIMS REFUGEE CHOSE TO GO TO EUROPE WHERE PEOPLE SHARE THAN TO ARABS COUNTRIES WHERE THE RICH SHOW OFF THEIR WEALTH TO THE POOR.
 
Bill anaishi maisha ya kawaida wakati nyumba yake anayoishi tu ina thamani ya $125 Million ambazo ni zaidi ya Sh 250 Billion za Tanzania.

Kwamba anasafiri kwa kutumia economy class!!! You can't be serious!! Why should he?! Kwanini asafiri kwa kutumia economy class au hata first class wakati ana ndege yake binafsi?!

Kumbuka nyumba hupanda bei kila siku. Watu walionunua nyumba za matope kinondoni mAka mingi leo bei ya nyumba hizo zipo juu na sio kuwa ni matajiri. Bill Gates hajajirundikia magali bila ya sababu. Hata hivyo Bill Gates hawezi kujenga swimming pool katikati ya masikini.
 
Back
Top Bottom