Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu walaumu wazazi wako acha wivuTembo walikuwa 55,000 sasa wamebaki 3000..Tafakuri
kwani ww mihogo una ichukulia vipi?Acha wivu wewe mihogo umemaliza?
Ni yule unayemfanyia hinda, ila ndo hivyo Mungu kampa usichotaka akipate...Backhresa ndo nani?
naskia jamaa kalima matembele na mchicha mule ndani ,kweli usilolijua kama gizaUsilolijua ni Kama usiku wa giza boss. Sina sababu ya kutoa maelezo mengi mkuu.
Maskini kwa kujifariji[emoji1]Vyote vitapita
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Hajui vihela vyake ndio vinamfanya bakharesa aishi kama paradisoUnachoshangaa nn akati kila siku king'amuzi kimeisha unakimbilia fasta kurecharge mkuu. Huku channel zenyewe za ujanja ujanja tuuu price kuubwaa
Imeonyeshwa kwa ndani tu Mkuu wewe umejuaje kma sio ya masaki?
Au wewe ndye motto wa bhakresa
Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Mashemeji bwana wanajua kila kitu. Wanajua hii Nyumba ya mume WA dada na hii sio ya mume wa dada. Yaani nyumba imeonyeshwa kwa ndani hao washajua. Mpo juu mashemeji undeni chama chenu.Hapo ni kwa Mwanae yule na gari Nyingine hapo naona na yule mwanae aliefariki hyo ferrari ndo alikua mpenda magari ya kifahari Mzee Said sio mpenda vitu vya anasa sana.
Kama wewe unavyojua za mabaragumu wako sio!Mashemeji bwana wanajua kila kitu. Wanajua hii Nyumba ya mume WA dada na hii sio ya mume wa dada. Yaani nyumba imeonyeshwa kwa ndani hao washajua. Mpo juu mashemeji undeni chama chenu.
Hii video chini inaonesha maisha halisi ya Yusuph Salim Bakhresa , Na Mali anazomiliki ndani.
Magari ya kifahari zaidi ya 20 ndani, Na mengine jionee
Pamoja na hayo aliwahi kusomeshwa namba na Mkapa
Serikali ya Mkapa ilivyomfanyia hujuma Bakhresa kisa kuipa msaada CUF, akashitaki na kulipwa fidia ya mabilion
Bilgate si tajiri mkubwa marekani tu ni Dunia kwa ujumla lkn asikudanganye mtu Bilgate pia ana very most luxurious yatch,jets,cars and houses zenye thamani ya mamilioni ya madola hizo mambo za yeye kuonekana kawaida ni kwa sababu yeye ana funds zenye malengo ya kuwasaidia na kupunguza umaskini especially Africa na Asia akishirikiana na mkeweMAISHA KAMA HAYA HAYANA MAANA IKIWA UMEZUNGUKWA NA MASIKINI WENGINE WANALALA NA NJAA. HAYANA BARAKA WALA MAANA. TAJIRI KUINGIA MBINGUNI NI VIGUMU KAMA TEMBO KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO.. HATA KAMA UNA NYUMBA YA VYUMBA YA VYUMBA MIA MOJA UTALALA CHUMBA KIMOJA TU. HATA KAMA UNA MAGALI MIA MOJA NI MOJA TU UTATUMIA. NA SIKU YA KIFO NI MWILI WAKO TU UTAFUNGWA KWENYE SHUKA NA KUZIKWA KWENYE NAFASI NDOGO TU PEKE YAKO. NA HII NDIYO BILL GATES TAJIRI MKUBWA MAREKANI, ANASAIDIA MASIKINI, ANASAFIRI ECONOMY CLASS, NA ANSISHI MAISHA YA KAWAIDA.
aangalie tu asije tatuliwa marindaBashite kesho ataenda kuanzisha visa apate ata moja wapo ya gari hizo
Bill anaishi maisha ya kawaida wakati nyumba yake anayoishi tu ina thamani ya $125 Million ambazo ni zaidi ya Sh 250 Billion za Tanzania.MAISHA KAMA HAYA HAYANA MAANA IKIWA UMEZUNGUKWA NA MASIKINI WENGINE WANALALA NA NJAA. HAYANA BARAKA WALA MAANA. TAJIRI KUINGIA MBINGUNI NI VIGUMU KAMA TEMBO KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO.. HATA KAMA UNA NYUMBA YA VYUMBA YA VYUMBA MIA MOJA UTALALA CHUMBA KIMOJA TU. HATA KAMA UNA MAGALI MIA MOJA NI MOJA TU UTATUMIA. NA SIKU YA KIFO NI MWILI WAKO TU UTAFUNGWA KWENYE SHUKA NA KUZIKWA KWENYE NAFASI NDOGO TU PEKE YAKO. NA HII NDIYO BILL GATES TAJIRI MKUBWA MAREKANI, ANASAIDIA MASIKINI, ANASAFIRI ECONOMY CLASS, NA ANSISHI MAISHA YA KAWAIDA.
Maa sha allah
Bill anaishi maisha ya kawaida wakati nyumba yake anayoishi tu ina thamani ya $125 Million ambazo ni zaidi ya Sh 250 Billion za Tanzania.
Kwamba anasafiri kwa kutumia economy class!!! You can't be serious!! Why should he?! Kwanini asafiri kwa kutumia economy class au hata first class wakati ana ndege yake binafsi?!