JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Mtu kazaliwa kawakuta fisi, mbwa, funza n.k halafu anatoa hitimisho kuwa ana thamani kuliko wao sababu ana uwezo wa kutumia smartphone na fisi hawezi.Aliekudanganya kwamba binadamu ana thamani ni nani?
Kipi kinakufanya ujione special kuliko viumbe Wengine?
Au kuvaa nguo na kua na utashi ndio unaona ndio una thamani sana Kuliko viumbe hao,
Bila shaka Bado hujaijua kanuni ya Maisha wewe Kila kiumbe kinasurvive Kwa destiny yake hata sisi hiyo ndio destiny yetu nje ya Hapo ni hekaya za kujifariji!
Tuachane na imani. Tutumie akili tu tulizoumbwa nazo. Wewe ukitengana na huo ubongo wako unaohifadhi kumbukumbu utakumbuka nn kuhusu nyakati zilizopita?Mtu kazaliwa kawakuta fisi, mbwa, funza n.k halafu anatoa hitimisho kuwa ana thamani kuliko wao sababu ana uwezo wa kutumia smartphone na fisi hawezi.
Naomba tujadiliane kuhusu hili andiko vizuri...wakristo wengi huwa mnasoma biblia ila huwa hamuielewiKama hujui unakoenda lazima uogope,lakini km anajua huwezi kuogopa!
Heaven is real
Hell is real!
Chaguo ni lako, kumbuka uwe na dini ama huna njia ni moja tu nayo ni Yesu!
Yesu alisema "mimi ndie njia ya kweli na ya uzima mtu haji kwa baba bila ya mimi"...
Uhai ni Roho...Roho inapotolewa ina maana nafsi (Mimi/wewe) haina uwezo wa kuendelea kuishi katika ulimwengu huu tena.Kwanza tunatakiwa tujue kuwa uhai ni nn, na je uhai ulio nao ukiwekwa kwenye mwili wa mende utakuwa mende au bado utakuwa na uwezo ulio nao sasa?
Uwezo wa akili ya utambuzi unatokana na ubongo wako ambao ni sehemu ya mwili wako au uhai wako?
Kama ni ubongo ukifa ndo basi maana na ubongo unakufa hata kama uhai wako utaenda kwenye mwili mwingine au kiumbe kingine utakutana na ubongo mwingine usio na kumbukumbu.
Roho bila ubongo ina kumbukumbu? Na kwann tunadhani wanyama hawana roho?Iha
Uhai ni Roho...Roho inapotolewa ina maana nafsi (Mimi/wewe) haina uwezo wa kuendelea kuishi katika ulimwengu huu tena.
The measure of human standard ni mind..Mtu kazaliwa kawakuta fisi, mbwa, funza n.k halafu anatoa hitimisho kuwa ana thamani kuliko wao sababu ana uwezo wa kutumia smartphone na fisi hawezi.
😂😂😂The measure of human standard ni mind..
Kama mbwa anathaman kuliko wewe ni sawa.
Wewe ndio hujui ndio maana mbwa anathamani kuliko wewe.😂😂😂
Akili ya ubongo wako inatoa thamani ya universe na viumbe vyake ila haijui hatma ya maisha yake sawa tu na Mbwa.
Mbwa mwenyewe humuelewi logistic za uumbaji wake umeipima thamani yake kwa uwezo wako wa akili ambayo nayo huielewi logistic ya uumbaji wake. PATHETIC THINKING.
Huna lolote. Mwoga tu. Akili yako inakupa matumaini.Wewe ndio hujui ndio maana mbwa anathamani kuliko wewe.
Mimi najua even before ya sijakuwepo kwa dunia.
Never generalize kama wewe ni mjinga its only you.
Unadhani wewe na nani?Huna lolote. Mwoga tu. Akili yako inakupa matumaini.
Halafu hakuna sehemu yoyote nimesema mbwa ana thamani kuliko binadamu ila nimehoji kwann tunadhani ss ni wa thamani kuliko mbwa, panya na viumbe wengine linapokuja suala la kifo. Wewe ni muoga.
Kote huko mbali mbona...yaan kifo chenyewe chaogofya
Soma Quran mkuu,kile kitabu kimeeleza kila kitu kuhusu hiyo safari,kitakueleza ulitoka wapi,kwanini upo hapa Duniani na je ukifa nini kitaendelea....soma Quran yenye tafsiri ya kiswahili na soma ukiwa free minded utaelewa kila kitu mkuu.
Wewe ni muoga, na majibu yako yanadhihirisha uoga wako, hakuna experience yoyote uliyonayo zaidi ya hofu inatokana na kuhofia uendapo baada ya kifo inayopelekea your brain to play tricks with you.Unadhani wewe na nani?
Kama akili yako inakupa matumaini ni wewe.
Kuna knowledge huwezi kuwa nazo except by exprience we are not the same dude.
Wanasema eti mungu alimuumba binadamu lakini ukweli binadamu ndio aliyomuumba mungu.Binadamu huzaliwa, kukua , kuzeeka na baadae kufa kama viumbe wengine...lakini binadamu ndo kiumbe mwenye akili nyingi kuliko viumbe wote duniani, na ndiyo maana Mwenyezi MUNGU alimpa uwezo wa kuitawala dunia na vilivyomo.
Wanasayansi, wataalamu, wavumbuzi, watafiti mahiri na mashuhuri kutoka mataifa yote duniani wameshindwa kuja na jibu linaloeleweka la nini kinafuata baada ya binadamu kufariki dunia.
Hata viongozi wa dini wameshindwa kuthibitisha fumbo hilo gumu duniani.
Wataalamu , Wanasayansi na viongozi wengi wa dini wamekuwa wakitoa majibu yao kwa hisia au ndoto zao...
Sote tunajua, wenzetu hufa kila siku majumbani, mahospitali, ajalini , usingizini, n.k n.k...
Mimi na wewe pia tutakufa kwa namna ambayo hatuijui.
Baada ya binadamu kufa, je
1. Huzaliwa upya ?
2. Huenda kuishi mbingu nyingine kama kiumbe kingine ?
3. Akifa basi amekufa kama ilivyo kwa viumbe wengine, kwamba hakuna kinachoendelea?
Tokea lini Wanasayansi hutoa majibu kwa hisia au ndoto zao?Wanasayansi na viongozi wengi wa dini wamekuwa wakitoa majibu yao kwa hisia au ndoto zao...