Fumbo linaloumiza walimwengu ni maisha baada ya kifo

Binadamu huzaliwa, kukua , kuzeeka na baadae kufa kama viumbe wengine...lakini binadamu ndo kiumbe mwenye akili nyingi kuliko viumbe wote duniani, na ndiyo maana Mwenyezi MUNGU alimpa uwezo wa kuitawala dunia na vilivyomo.

Wanasayansi, wataalamu, wavumbuzi, watafiti mahiri na mashuhuri kutoka mataifa yote duniani wameshindwa kuja na jibu linaloeleweka la nini kinafuata baada ya binadamu kufariki dunia.

Hata viongozi wa dini wameshindwa kuthibitisha fumbo hilo gumu duniani.

Wataalamu , Wanasayansi na viongozi wengi wa dini wamekuwa wakitoa majibu yao kwa hisia au ndoto zao...

Sote tunajua, wenzetu hufa kila siku majumbani, mahospitali, ajalini , usingizini, n.k n.k...

Mimi na wewe pia tutakufa kwa namna ambayo hatuijui.

Baada ya binadamu kufa, je

1. Huzaliwa upya ?

2. Huenda kuishi mbingu nyingine kama kiumbe kingine ?

3. Akifa basi amekufa kama ilivyo kwa viumbe wengine, kwamba hakuna kinachoendelea?
Binadamu anaishi milele; ana mwanzo, hana mwisho. Kuzaliwa, kukua na hatimaye kufa, ni phases tu zilizo kwenye maisha yake ya umilele huo wenye mwanzo. By the way, Mungu mwenyewe ni WA MILELE; hana mwanzo na wala hana mwisho
 
Binadamu huzaliwa, kukua , kuzeeka na baadae kufa kama viumbe wengine...lakini binadamu ndo kiumbe mwenye akili nyingi kuliko viumbe wote duniani, na ndiyo maana Mwenyezi MUNGU alimpa uwezo wa kuitawala dunia na vilivyomo.

Wanasayansi, wataalamu, wavumbuzi, watafiti mahiri na mashuhuri kutoka mataifa yote duniani wameshindwa kuja na jibu linaloeleweka la nini kinafuata baada ya binadamu kufariki dunia.

Hata viongozi wa dini wameshindwa kuthibitisha fumbo hilo gumu duniani.

Wataalamu , Wanasayansi na viongozi wengi wa dini wamekuwa wakitoa majibu yao kwa hisia au ndoto zao...

Sote tunajua, wenzetu hufa kila siku majumbani, mahospitali, ajalini , usingizini, n.k n.k...

Mimi na wewe pia tutakufa kwa namna ambayo hatuijui.

Baada ya binadamu kufa, je

1. Huzaliwa upya ?

2. Huenda kuishi mbingu nyingine kama kiumbe kingine ?

3. Akifa basi amekufa kama ilivyo kwa viumbe wengine, kwamba hakuna kinachoendelea?
Kama hun muongozo bs kwako swala ilo ni kitendawili ila sis tayar tunajuw sio tu baadaya kufa anaend wap bl ht baada ya maisha ya kaburin ataenda wap
 
Binadamu huzaliwa, kukua , kuzeeka na baadae kufa kama viumbe wengine...lakini binadamu ndo kiumbe mwenye akili nyingi kuliko viumbe wote duniani, na ndiyo maana Mwenyezi MUNGU alimpa uwezo wa kuitawala dunia na vilivyomo.

Wanasayansi, wataalamu, wavumbuzi, watafiti mahiri na mashuhuri kutoka mataifa yote duniani wameshindwa kuja na jibu linaloeleweka la nini kinafuata baada ya binadamu kufariki dunia.

Hata viongozi wa dini wameshindwa kuthibitisha fumbo hilo gumu duniani.

Wataalamu , Wanasayansi na viongozi wengi wa dini wamekuwa wakitoa majibu yao kwa hisia au ndoto zao...

Sote tunajua, wenzetu hufa kila siku majumbani, mahospitali, ajalini , usingizini, n.k n.k...

Mimi na wewe pia tutakufa kwa namna ambayo hatuijui.

Baada ya binadamu kufa, je

1. Huzaliwa upya ?

2. Huenda kuishi mbingu nyingine kama kiumbe kingine ?

3. Akifa basi amekufa kama ilivyo kwa viumbe wengine, kwamba hakuna kinachoendelea?
Kwa wanaomjua Mungu wa kweli hiyo sio shida.They know why they are here and where they are going.Ninyi msiomjua Mungu ndio mnahangaika,sisi wenzenu ka,tena hata kifo hatuogopi.Tunajua tupo hapa kwa muda tu, we are enroute to Heaven.Poleni sana.
 
Swali la kujiuliza ulivyokuwa tumboni kwa mama ako ulijua uko sehemu gani ndivyo ilivyo kifo.angalia ulimwengu ulivyoumbwa na jinsi yai lilivyogeuka kuwa mimba utafahamu vizur kuwa Mungu yupo na tukifariki lazima tukamuone face to face hamna ile ya kusema Mungu ni roho haonekani,tukifa tunakuwa roho na lazima tuonane na Mungu ambaye in roho.Mungu yupo tutende matendo mazuri ya kumpendeza tu.
 
Binadamu huzaliwa, kukua , kuzeeka na baadae kufa kama viumbe wengine...lakini binadamu ndo kiumbe mwenye akili nyingi kuliko viumbe wote duniani, na ndiyo maana Mwenyezi MUNGU alimpa uwezo wa kuitawala dunia na vilivyomo.

Wanasayansi, wataalamu, wavumbuzi, watafiti mahiri na mashuhuri kutoka mataifa yote duniani wameshindwa kuja na jibu linaloeleweka la nini kinafuata baada ya binadamu kufariki dunia.

Hata viongozi wa dini wameshindwa kuthibitisha fumbo hilo gumu duniani.

Wataalamu , Wanasayansi na viongozi wengi wa dini wamekuwa wakitoa majibu yao kwa hisia au ndoto zao...

Sote tunajua, wenzetu hufa kila siku majumbani, mahospitali, ajalini , usingizini, n.k n.k...

Mimi na wewe pia tutakufa kwa namna ambayo hatuijui.

Baada ya binadamu kufa, je

1. Huzaliwa upya ?

2. Huenda kuishi mbingu nyingine kama kiumbe kingine ?

3. Akifa basi amekufa kama ilivyo kwa viumbe wengine, kwamba hakuna kinachoendelea?
Mwapotea kwa kuwa hamna maarifa.Hebu soma hapa chini upate maarifa.

1Wakorintho 15:36-56
36 Ewe mpumbavu! Uipandayo haihuiki, isipokufa;
1 Wakorintho 15:36

37 nayo uipandayo, huupandi mwili ule utakaokuwa, ila chembe tupu, ikiwa ni ya ngano au nyingineyo;
1 Wakorintho 15:37

38 lakini Mungu huipa mwili kama apendavyo, na kila mbegu mwili wake.
1 Wakorintho 15:38

39 Nyama yote si nyama moja; ila nyingine ni ya wanadamu, nyingine ya hayawani, nyingine ya ndege, nyingine ya samaki.
1 Wakorintho 15:39

40 Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fahari yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali.
1 Wakorintho 15:40

41 Kuna fahari moja ya jua, na fahari nyingine ya mwezi, na fahari nyingine ya nyota; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota.
1 Wakorintho 15:41

42 Kadhalika na kiyama ya watu. Hupandwa katika uharibifu; hufufuliwa katika kutokuharibika;
1 Wakorintho 15:42

43 hupandwa katika aibu; hufufuliwa katika fahari; hupandwa katika udhaifu; hufufuliwa katika nguvu;
1 Wakorintho 15:43

44 hupandwa mwili wa asili; hufufuliwa mwili wa roho. Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko.
1 Wakorintho 15:44

45 Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa nafsi iliyo hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha.
1 Wakorintho 15:45

46 Lakini hautangulii ule wa roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho.
1 Wakorintho 15:46

47 Mtu wa kwanza atoka katika nchi, ni wa udongo. Mtu wa pili atoka mbinguni.
1 Wakorintho 15:47

48 Kama alivyo yeye wa udongo, ndivyo walivyo walio wa udongo; na kama alivyo yeye wa mbinguni, ndivyo walivyo walio wa mbinguni.
1 Wakorintho 15:48

49 Na kama tulivyoichukua sura yake yule wa udongo, kadhalika tutaichukua sura yake yeye aliye wa mbinguni.
1 Wakorintho 15:49

50 Ndugu zangu, nisemayo ni haya, ya kuwa nyama na damu haziwezi kuurithi ufalme wa Mungu; wala uharibifu kurithi kutokuharibika.
1 Wakorintho 15:50

51 Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika,
1 Wakorintho 15:51

52 kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanda ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tutabadilika.
1 Wakorintho 15:52

53 Maana sharti huu uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa.
1 Wakorintho 15:53

54 Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo litakapokuwa lile neno lililoandikwa, Mauti imemezwa kwa kushinda.
1 Wakorintho 15:54

55 Ku wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? U wapi, Ewe mauti, uchungu wako?
1 Wakorintho 15:55

56 Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati.
1 Wakorintho 15:56
 
Back
Top Bottom