kipigapasi
Senior Member
- Dec 7, 2010
- 185
- 443
Hata ujielewe wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu anaishi milele; ana mwanzo, hana mwisho. Kuzaliwa, kukua na hatimaye kufa, ni phases tu zilizo kwenye maisha yake ya umilele huo wenye mwanzo. By the way, Mungu mwenyewe ni WA MILELE; hana mwanzo na wala hana mwishoBinadamu huzaliwa, kukua , kuzeeka na baadae kufa kama viumbe wengine...lakini binadamu ndo kiumbe mwenye akili nyingi kuliko viumbe wote duniani, na ndiyo maana Mwenyezi MUNGU alimpa uwezo wa kuitawala dunia na vilivyomo.
Wanasayansi, wataalamu, wavumbuzi, watafiti mahiri na mashuhuri kutoka mataifa yote duniani wameshindwa kuja na jibu linaloeleweka la nini kinafuata baada ya binadamu kufariki dunia.
Hata viongozi wa dini wameshindwa kuthibitisha fumbo hilo gumu duniani.
Wataalamu , Wanasayansi na viongozi wengi wa dini wamekuwa wakitoa majibu yao kwa hisia au ndoto zao...
Sote tunajua, wenzetu hufa kila siku majumbani, mahospitali, ajalini , usingizini, n.k n.k...
Mimi na wewe pia tutakufa kwa namna ambayo hatuijui.
Baada ya binadamu kufa, je
1. Huzaliwa upya ?
2. Huenda kuishi mbingu nyingine kama kiumbe kingine ?
3. Akifa basi amekufa kama ilivyo kwa viumbe wengine, kwamba hakuna kinachoendelea?
Kama hun muongozo bs kwako swala ilo ni kitendawili ila sis tayar tunajuw sio tu baadaya kufa anaend wap bl ht baada ya maisha ya kaburin ataenda wapBinadamu huzaliwa, kukua , kuzeeka na baadae kufa kama viumbe wengine...lakini binadamu ndo kiumbe mwenye akili nyingi kuliko viumbe wote duniani, na ndiyo maana Mwenyezi MUNGU alimpa uwezo wa kuitawala dunia na vilivyomo.
Wanasayansi, wataalamu, wavumbuzi, watafiti mahiri na mashuhuri kutoka mataifa yote duniani wameshindwa kuja na jibu linaloeleweka la nini kinafuata baada ya binadamu kufariki dunia.
Hata viongozi wa dini wameshindwa kuthibitisha fumbo hilo gumu duniani.
Wataalamu , Wanasayansi na viongozi wengi wa dini wamekuwa wakitoa majibu yao kwa hisia au ndoto zao...
Sote tunajua, wenzetu hufa kila siku majumbani, mahospitali, ajalini , usingizini, n.k n.k...
Mimi na wewe pia tutakufa kwa namna ambayo hatuijui.
Baada ya binadamu kufa, je
1. Huzaliwa upya ?
2. Huenda kuishi mbingu nyingine kama kiumbe kingine ?
3. Akifa basi amekufa kama ilivyo kwa viumbe wengine, kwamba hakuna kinachoendelea?
Kwa wanaomjua Mungu wa kweli hiyo sio shida.They know why they are here and where they are going.Ninyi msiomjua Mungu ndio mnahangaika,sisi wenzenu ka,tena hata kifo hatuogopi.Tunajua tupo hapa kwa muda tu, we are enroute to Heaven.Poleni sana.Binadamu huzaliwa, kukua , kuzeeka na baadae kufa kama viumbe wengine...lakini binadamu ndo kiumbe mwenye akili nyingi kuliko viumbe wote duniani, na ndiyo maana Mwenyezi MUNGU alimpa uwezo wa kuitawala dunia na vilivyomo.
Wanasayansi, wataalamu, wavumbuzi, watafiti mahiri na mashuhuri kutoka mataifa yote duniani wameshindwa kuja na jibu linaloeleweka la nini kinafuata baada ya binadamu kufariki dunia.
Hata viongozi wa dini wameshindwa kuthibitisha fumbo hilo gumu duniani.
Wataalamu , Wanasayansi na viongozi wengi wa dini wamekuwa wakitoa majibu yao kwa hisia au ndoto zao...
Sote tunajua, wenzetu hufa kila siku majumbani, mahospitali, ajalini , usingizini, n.k n.k...
Mimi na wewe pia tutakufa kwa namna ambayo hatuijui.
Baada ya binadamu kufa, je
1. Huzaliwa upya ?
2. Huenda kuishi mbingu nyingine kama kiumbe kingine ?
3. Akifa basi amekufa kama ilivyo kwa viumbe wengine, kwamba hakuna kinachoendelea?
Mwapotea kwa kuwa hamna maarifa.Hebu soma hapa chini upate maarifa.Binadamu huzaliwa, kukua , kuzeeka na baadae kufa kama viumbe wengine...lakini binadamu ndo kiumbe mwenye akili nyingi kuliko viumbe wote duniani, na ndiyo maana Mwenyezi MUNGU alimpa uwezo wa kuitawala dunia na vilivyomo.