Fumbo linaloumiza walimwengu ni maisha baada ya kifo

Tumia ubongo wako kufikiri usifungwe na hekaya za kigeni, ambazo hata afrika zilikuwepo kwenye makabila yao, lakini hao mabwana wslipokuja walifuta za kwetu wakalazimisha tufuate za kwao, na sasa watu wamekuwa addicted nazo kabisaa kama ndio asili yao.

Hayo maandishi jamii za asia walipewa namna ya kuandika kuanzia wachina, waarabu, wahindi, wahibrania, wayahudi na walipewa lugha chache.

Sisi waafrika tulipewa lugha nyiingi lakini tukanyimwa maandishi.
 
Huna hoja zaidi ya dhana na matamanio ya nafsi yako tu!!! Ni mtu mpumbavu tu anaeweza kukataa kuwa kuna maisha baada ya kifo. Nafsi yako ikishakufa haiwezi kuishi katika nafsi ya mtu mwingine
 
(إِذَا تُتۡلَىٰ عَلَیۡهِ ءَایَـٰتُنَا قَالَ أَسَـٰطِیرُ ٱلۡأَوَّلِینَ)
[Surah Al-Mutaffifin 13]
anaposomewa aya zetu husema: ni visa vya watu wa kale!..
 
Waliokufuru hawana hoja mpya zaidi ya kurudia yaleyale waliyoyasema na kuyazua baba zao juu ya aya za Mwenyezi Mungu. Fatilia sana hoja zao na bahati nzuri Quran ilishawabainisha 1400 years ago
 
Waliokufuru hawana hoja mpya zaidi ya kurudia yaleyale waliyoyasema na kuyazua baba zao juu ya aya za Mwenyezi Mungu. Fatilia sana hoja zao na bahati nzuri Quran ilishawabainisha 1400 years ago
Kukufuru ndio nini???
Zaidi ya vitisho dini ilivyofanikiwa kuwa wekea waumini wake hamna lolote.
 
Waliokufuru hawana hoja mpya zaidi ya kurudia yaleyale waliyoyasema na kuyazua baba zao juu ya aya za Mwenyezi Mungu. Fatilia sana hoja zao na bahati nzuri Quran ilishawabainisha 1400 years ago
kweli kabisa mkuu majibu yote yameshawekwa kwaajili yao karne 14 zilizopita ni mwendo wa kuwachomolea tu na kuleta..
 
Kwa mwanaume kama mkeo hakurogi tambua hauna maajabu, hakuna anaweza kuhangaika na wewe ukiwa useless [emoji3][emoji3][emoji3]

Na kama mkeo anakuroga it means anapambania ndoa yake mzidi kudumu na kumjali which is your responsibilities kumhudumia kwa hiyo acha uoga mkuu mpende mkeo,
 

Ni nabii au mtume gani wakati wowote alishawahi kutoa hakikisho kama alilolitoa Yesu? Kwanza Yesu anatoa hakikisho kabisa kwamba anaenda kuandaa makao na kisha atarudi kuwachukua walio wake. Hakuna nabii wala mtume aliyewahi kutoa hakikisho kama hilo na kama yupo tupe andiko. Njia ni moja tuu, amini yesu ni mwana wa Mungu, ubatizwe, utaokoka. BILA YESU MBINGUNI HUTOBOI
 
Kamsikilize Dr Remy ongala hutaogopa kifo ,kifo kumanyoooko hutoi taarifa nijiandae
 
m katika uislamu mafunzo mama yenye kutegemewa ni kuwa iysa mwana wa mariam atakuja kurudi wakati wa mwisho wa dunia na si aibu!..
 
Ukweli ni kwamba kabla ya kuja ulimwenguni tulikuepo.huko tulikokua,badae tukaja tumboni kwa mama na badae duniani. Sema tu hatumbuki na Hilo naona Allah ndio mjuzi Zaidi kwanini tulipoteza kumbukumbu .hivi ww fikiria tumboni ulikua unacheza unakula na kadhalika ila wakuulize utupe angalau tukio moja huwezi .swali myongoni mwetu nani anakumbuka alivyokua ananyonya alivokua mdogo.huwezi ila waliokuona ndio wanajua ulivokua ukijinyea na kujikojolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…