Fun Fact: Tanzania ndiyo nchi pekee ya Afrika inayomwaga maji yake kwenye bahari tatu

Fun Fact: Tanzania ndiyo nchi pekee ya Afrika inayomwaga maji yake kwenye bahari tatu

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
32323500286_1493763005_b.jpg
 
Huyu Jamaa tuko Sahihi.

Tributeries za

✅Mto Congo inayomwaga maji Atlantic Ocean zinatoka Ziwa Tanganyika
✅Mto Nile chanzo chake ni Ziwa Victoria na unamwaga maji Mediteranian Sea.

✅Mto Rufiji na Bwawa la Magu nazo zinamwaga maji Indian Ocean.
Tatizo yeye hajazitaja any way kumbe unaangalia source ok👍👍
 
Huyu Jamaa tuko Sahihi.

Tributeries za

[emoji736]Mto Congo inayomwaga maji Atlantic Ocean zinatoka Ziwa Tanganyika
[emoji736]Mto Nile chanzo chake ni Ziwa Victoria na unamwaga maji Mediteranian Sea.

[emoji736]Mto Rufiji na Bwawa la Magu nazo zinamwaga maji Indian Ocean.
mto Kongo na ziwa Tanganyika mbona sioni uhusiano
 
Back
Top Bottom