Fun Fact: Tanzania ndiyo nchi pekee ya Afrika inayomwaga maji yake kwenye bahari tatu

Fun Fact: Tanzania ndiyo nchi pekee ya Afrika inayomwaga maji yake kwenye bahari tatu

mto Kongo na ziwa Tanganyika mbona sioni uhusiano
Labda angalia kwenye hii ramani
Screenshot_20240730-144028.jpg
 
Huyu Jamaa tuko Sahihi.

Tributeries za

✅Mto Congo inayomwaga maji Atlantic Ocean zinatoka Ziwa Tanganyika
✅Mto Nile chanzo chake ni Ziwa Victoria na unamwaga maji Mediteranian Sea.

✅Mto Rufiji na Bwawa la Magu nazo zinamwaga maji Indian Ocean.
Chanzo cha mto Nile ni Ziwa Victoria upande Uganda sio Tanzania.
 
hivi, hatuwezi kugeuza maji yanayomwagwa baharini yarudishwe ardhini kufanyike kitu kingine?
Ni kuyazuia kwa mabwawa na kuyasambaza kuyatumia kabla hayajaingia baharini. Yakiingia baharini yanaharibika na chumvi.
 
Tunafaidika kwa namna gani kuwa na mito inayomwga maji kwenye bahara tatu.
 
Huyu Jamaa tuko Sahihi.

Tributeries za

✅Mto Congo inayomwaga maji Atlantic Ocean zinatoka Ziwa Tanganyika
✅Mto Nile chanzo chake ni Ziwa Victoria na unamwaga maji Mediteranian Sea.

✅Mto Rufiji na Bwawa la Magu nazo zinamwaga maji Indian Ocean.
Tatizo kuna wengi waliende shule kula uji na maharage ndo maana ata geografia ya Afrika hawaijui kabisa
 
Back
Top Bottom