Fun Fact: Tanzania ndiyo nchi pekee ya Afrika inayomwaga maji yake kwenye bahari tatu

Chanzo cha mto Nile ni Ziwa Victoria upande Uganda sio Tanzania.
 
hivi, hatuwezi kugeuza maji yanayomwagwa baharini yarudishwe ardhini kufanyike kitu kingine?
Ni kuyazuia kwa mabwawa na kuyasambaza kuyatumia kabla hayajaingia baharini. Yakiingia baharini yanaharibika na chumvi.
 
Tunafaidika kwa namna gani kuwa na mito inayomwga maji kwenye bahara tatu.
 
Tatizo kuna wengi waliende shule kula uji na maharage ndo maana ata geografia ya Afrika hawaijui kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…