Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

Eneo lako la huduma ni wapi? Tulio mbali na ulipo tunapata vp huduma
 
Huyo sio Saidi kweli?
 
Mkuu mambo vipi. Nina tv yangu inc 50 Samsung mwanga wake sio mweupe. Mwangawake ni WA njano je tatizo ni bablu au Nini maana nimefanya setting zote
 
FUNDI TV AINA ZOTE NA TUNAFANYA NA HOME SERVICE:
JE -Tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522
 
Wewe? Kumbe!
 
FUNDI TV AINA ZOTE NA TUNAFANYA NA HOME SERVICE:
JE -Tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522
0744680670
 
Kioo kinavuja, kubadili KIOO shs ngapi TCL Inch 55?
 
Tv imepigwa short ya umeme baada ya radi kufanya yake, inatakiwa nibali kipi?.


Tv ni hisense smart inchi 43
 
kioo kipya 760,000 pamoja na ufundi
Hivi hawa manufacturers kwanini wanapoleta bidhaa (TV)zao sokoni, kwanini wasilete na Spair zake?, yaani bei ya kioo unapata TV nyinginè aisee.
 
Hivi hawa manufacturers kwanini wanapoleta bidhaa (TV)zao sokoni, kwanini wasilete na Spair zake?, yaani bei ya kioo unapata TV nyinginè aisee.
Hata mimi sielewi kwanini wanafanya for single use?
mwanao akirusha kijiko akapasua kioo unaitupia stoo bila ya kupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…