dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
naamini ndiyo hutanunua kabisaa, maana Tv mpya ikiwa 1m, kioo cha OEM kitakuwa 900kHivi hawa manufacturers kwanini wanapoleta bidhaa (TV)zao sokoni, kwanini wasilete na Spair zake?, yaani bei ya kioo unapata TV nyinginè aisee.
Tv ni hisense smart inchi 43, hiyo motherboard yake inauzwa bei gani?change motherboard boss
FUNDI TV AINA ZOTE NA TUNAFANYA NA HOME SERVICE:
JE -Tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522
0744680670
Mboni munaficha sura zenu,au kanjanja wa mujini,kutaka kutujaza kunyavu tuu🤔Simu: 0713799522
- TV yako haiwaki?
- TV yako inajizima?
- TV yako unasikia sauti huoni picha?
- TV yako inawaka nusu hazijazi kioo?
- TV yako imeingia giza upande mmoja?
- TV yako imeua taa?
- TV yako inarangi moja, njano, blue, nyekundu?
- TV yako inawaka taa nyekundu tu?
- TV yako haina sauti?
- TV yako inaonyesha mistali?
- TV yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
- TV yako inaonyesha picha mbili?
- TV yako inawaka na kujizima?
- TV yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
- TV yako inaonyesha picha inaganda?
- TV yako inaonyesha mwanga mweupe?
- TV yako inawaka haiandiki chochote?
- TV yako imepasuka ki00? vioo vipo, kioo size 32" ni 160,000, kioo 43 ni 360,000. Size zingine za vioo tuwasiliane.
Karibuni wenye tatizo na TV zenu, ofisi ipo Ilala mtaa wa Pangani.
View attachment 2599219View attachment 2599220View attachment 2599221
Sawa boss nitakutafuta.hii mainboard inauzwa 150k boss
Nipo 0780527652Me natafuta mtu wa kuweza kuni saidia kupata data za kwenye extenal yangu ilizingua aisom sasa ina vitu vyangu kibao kama fund yupo anicheki ila awe mwanza