Fundi kaniambia gharama zake za kujenga msingi 750,000 ni fair au ananipiga?

Fundi kaniambia gharama zake za kujenga msingi 750,000 ni fair au ananipiga?

Mikhail Tal

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
421
Reaction score
778
Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.

Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.

Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.

Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.

Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
 
Unapofanya utafiti wa ujenzi usitegemee fundi mmoja!

Ulizia mafundi wengine kwa siri utajua gharama zao! Kwa nyumba hiyo hujapigwa sana.

Chakula huwa wanajitegemee.
Okay mkuu wa kazi nashukuru sana, basi itabidi nimuambia nina 650,000 angalau ipungue kidogo
 
Kuna mengi yanahusu msingi kwanza kuwa imara wa kudumu miaka mingi Sana'a au niseme daima

Ubora unaendana na pesa zaidi

Uliza fundiz kuanzia watatu
Ilinuamue.. na utulize maswali.. ubora muhimu sanaaaa
Daaah.. hapa niombe Mungu tu sasa maana wanasema hata fundi mzuri naye kuna saa anakosea ujenzi
 
Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.

Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.

Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.

Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.

Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
Utayumbishwa bure hiyo pesa ya kawaida sana kama ni fundi mzuri, amekupunguzia mnoo
 
Back
Top Bottom