Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 421
- 778
Nashukuru mkuu, basi itabidi nimuambia hata laki sitaDuuu ...hela n nyingi san angalau angesema 450k
Okay mkuu wa kazi nashukuru sana, basi itabidi nimuambia nina 650,000 angalau ipungue kidogoUnapofanya utafiti wa ujenzi usitegemee fundi mmoja!
Ulizia mafundi wengine kwa siri utajua gharama zao! Kwa nyumba hiyo hujapigwa sana.
Chakula huwa wanajitegemee.
Asantee mkuuTembeza kotesheni
Kwahiyo hapo nimepigwaa au ni fairNyumba ni msingi wahenga walisema
Umezoea fundi MaikoDuuu ...hela n nyingi san angalau angesema 450k
Daaah.. hapa niombe Mungu tu sasa maana wanasema hata fundi mzuri naye kuna saa anakosea ujenziKuna mengi yanahusu msingi kwanza kuwa imara wa kudumu miaka mingi Sana'a au niseme daima
Ubora unaendana na pesa zaidi
Uliza fundiz kuanzia watatu
Ilinuamue.. na utulize maswali.. ubora muhimu sanaaaa
Utayumbishwa bure hiyo pesa ya kawaida sana kama ni fundi mzuri, amekupunguzia mnooNi kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.
Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
Tembeza kotesheni umeambiwa acha kibri hio Kaz ya 400kNashukuru mkuu, basi itabidi nimuambia hata laki sita
Kakupunguzia piaKwahiyo hapo nimepigwaa au ni fair
Okay mkuu basi nitaangalia... sina uhakika kama ni fundi mzuri ila ameniambia yupo na timu yake...Utayumbishwa bure hiyo pesa ya kawaida sana kama ni fundi mzuri, amekupunguzia mnoo
Yeye anasema yupo na timu yake ya mafundi wapo kampani... kesho ndo nawaona.. kitajulikana tuYeye anajenga au anaweka wa kujenga? Kwa nini usiwatafute wanaojenga? Kama gholofa lanini sawa
Okay mkuu nitajaribu kumshusha chini kidogo...Tembeza kotesheni umeambiwa acha kibri hio Kaz ya 400k
Basi hapo sawaKakupunguzia pia