Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Ila huko kwengine sidhani kwa kwellyYupo vizuri kufanya service za umeme na kufunga Radio,Taa na urembo kwenye Nissan na Toyota Cars.
Kuna vijana wake nahisi ndio mafundi,hii tunaita jitihada za ziada hongera kwake!!Alikua na duka la accessories mwenge naona kafungua na garage safi sana hua anajituma naamini hata kama sii yeye basi atakua kaajiri mafundi wazuri sana , watu kama hao tuwaunge mkono na kuwashauri pale inapobidi, tusikubali watu waanguke tuwasupport, ndio maendeleo
Huyu mwamba sina shaka na huduma zake ila bei zake ni za Masaki/Masaki hivi [emoji3][emoji3][emoji3] usije ukakurupuka utaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara nyingi watu wakishapata jina na bei inaongezeka.Huyu mwamba sina shaka na huduma zake ila bei zake ni za Masaki/Masaki hivi [emoji3][emoji3][emoji3] usije ukakurupuka utaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Exactly...you get what you paid forQuality service comes with high price
Huyu mwamba sina shaka na huduma zake ila bei zake ni za Masaki/Masaki hivi [emoji3][emoji3][emoji3] usije ukakurupuka utaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninataka kufungua shop yangu ya kisasa zaidi hapo Kimara Temboni kwa vile ndiko nimepata nafasi. Bei zangu zitakuwa nzuri sana. Kama unanifahamu kutokea kwenye uzi huu Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli usisite kunitembelea huko Kimara Temboni huenda kuanzia mwezi wa saba. Bado nafungasha vifaa kwenye maboksi ambavyo nategemea kuviweka kwenye macontainer mwezi wa tatu hivi.Huyu mwamba sina shaka na huduma zake ila bei zake ni za Masaki/Masaki hivi πππ usije ukakurupuka utaumia π€£π€£π€£
Huduma nzuri inatangaza biashara yako.Ninataka kufungua shop yangu ya kisasa zaidi hapo Kimara Temboni kwa vile ndiko nimepata nafasi. Bei zangu zitakuwa nzuri sana. Kama unanifahamu kutokea kwenye uzi huu Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli usisite kunitembelea huko Kimara Temboni huenda kuanzia mwezi wa saba. Bado nafungasha vifaa kwenye maboksi ambavyo nategemea kuviweka kwenye macontainer mwezi wa tatu hivi.
fungua mwamba maana naamini kwa kuwa wayajua magari huduma itakuwa nzuri tena weka mafundi guru wa vyuma (bmw, benzi, audi, vw) vya ulaya na gari wasizopenda akina fundi juma kama mitsubishi, nissanMwaka huu naleta huduma kama hiyo lakini kwa bei rafiki kaeni mkao wa kupata huduma bora kwa bei rafiki
Karibu na home hapo. Ntakua nakuja kukuungisha nikiwa holidays.Ninataka kufungua shop yangu ya kisasa zaidi hapo Kimara Temboni kwa vile ndiko nimepata nafasi. Bei zangu zitakuwa nzuri sana. Kama unanifahamu kutokea kwenye uzi huu Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli usisite kunitembelea huko Kimara Temboni huenda kuanzia mwezi wa saba. Bado nafungasha vifaa kwenye maboksi ambavyo nategemea kuviweka kwenye macontainer mwezi wa tatu hivi.
Sina shaka kabisa na ujuzi wake, Na mie nitakuwa nimenunua range rover sport nitakuwa mteja wako wa kudumu kabisaa ππNinataka kufungua shop yangu ya kisasa zaidi hapo Kimara Temboni kwa vile ndiko nimepata nafasi. Bei zangu zitakuwa nzuri sana. Kama unanifahamu kutokea kwenye uzi huu Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli usisite kunitembelea huko Kimara Temboni huenda kuanzia mwezi wa saba. Bado nafungasha vifaa kwenye maboksi ambavyo nategemea kuviweka kwenye macontainer mwezi wa tatu hivi.