Fundi magari anaitwa Dr.Toyota anajua kweli au mbabaishaji tu?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Naona post zake Insta akitoa maelezo kuhusu service za magari,anatoa darasa zuri sana kupitia video clip zake,hasa kwenye kuibiwa masega anayemfahamu kwa undani pliz ni fundi mzuri kwa vitendo au janja janja?
Screenshot_20230104-171045.png
Screenshot_20230104-171533.jpg
 
Alikua na duka la accessories mwenge naona kafungua na garage safi sana hua anajituma naamini hata kama sii yeye basi atakua kaajiri mafundi wazuri sana , watu kama hao tuwaunge mkono na kuwashauri pale inapobidi, tusikubali watu waanguke tuwasupport, ndio maendeleo
 
Kuna vijana wake nahisi ndio mafundi,hii tunaita jitihada za ziada hongera kwake!!
 
Huyu mwamba sina shaka na huduma zake ila bei zake ni za Masaki/Masaki hivi 😀😀😀 usije ukakurupuka utaumia 🤣🤣🤣
Ninataka kufungua shop yangu ya kisasa zaidi hapo Kimara Temboni kwa vile ndiko nimepata nafasi. Bei zangu zitakuwa nzuri sana. Kama unanifahamu kutokea kwenye uzi huu Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli usisite kunitembelea huko Kimara Temboni huenda kuanzia mwezi wa saba. Bado nafungasha vifaa kwenye maboksi ambavyo nategemea kuviweka kwenye macontainer mwezi wa tatu hivi.
 
Huduma nzuri inatangaza biashara yako.

Na wateja waliopata huduma nzuri ndo wanawaleta wateja wengine kwako.

Kila la heri.
 
Ninataka kufungua shop yangu ya kisasa zaidi hapo Kimara Temboni kwa vile ndiko nimepata nafasi. Bei zangu zitakuwa nzuri sana. Kama unanifahamu kutokea kwenye uzi huu Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli usisite kunitembelea huko Kimara Temboni huenda kuanzia mwezi wa saba. Bado nafungasha vifaa kwenye maboksi ambavyo nategemea kuviweka kwenye macontainer mwezi wa tatu hivi.
Karibu na home hapo. Ntakua nakuja kukuungisha nikiwa holidays.
 
Ninataka kufungua shop yangu ya kisasa zaidi hapo Kimara Temboni kwa vile ndiko nimepata nafasi. Bei zangu zitakuwa nzuri sana. Kama unanifahamu kutokea kwenye uzi huu Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli usisite kunitembelea huko Kimara Temboni huenda kuanzia mwezi wa saba. Bado nafungasha vifaa kwenye maboksi ambavyo nategemea kuviweka kwenye macontainer mwezi wa tatu hivi.
Sina shaka kabisa na ujuzi wake, Na mie nitakuwa nimenunua range rover sport nitakuwa mteja wako wa kudumu kabisaa 😊😊
 
Dokta toyota namjua vizuri ni rafiki yangu sana aliweka frem ya kwanza tabata liwiti jirani na nilipokuwa nakaa yuko vizuri baadae akahamia pale tabata shule...nilipotezana naye ila pongezi kwake kama amefanikiwa kufungua mpaka sinza..hongera sana...yuko makini na anajali wateja wake hata wafanyakazi wake wanajua jinsi anavyojali wateja..kwenye bei sina uhakika maana sikuwa nafuatilia bei kwa kipindi hicho
 
Back
Top Bottom