Fundi Magari ashinda kitita cha Tsh. bilioni 1.2 sport pesa jackpot

Katika hio cheki yao kuna kitu sikuelewi.
Nnacho kifahamu mm, cheki ile ya mfano ina akisi kiasi halisi cha fedha atakacho kichukua mshindi na kuwekewa kwny account.

Lakn kiuhalisia hiyo 1.2B siyo atakayo ichukua yote. Sportpesa hela ta jackpot wanayo isema huwa wanakuwa hasajaikata kodi. Kwahiyo ile jackpot wakiondoa Kodi 18% inabakia 984,000,000/= na ndio nilidhani wataandika kwny hundi.

Binafsi nimeshashida mechi 10 na 11 katika hiyo jackpot, na wanakuambia umeshinda kiasi fulani na baada ya kuondoka kodi kiasi fulani, wanakuwekea balance kwny account yako.

Sasa kuweka kiasi ambacho sio halisi kwny ile hundi ya mfano, waliomkabidhi jamaa sielewi kwann, anyway ngoja wajuzi waje waseme neno.
 
Alichoshinda yeye ni bilioni 1.2.
Hayo masuala ya kodi ni NYONGEZA TU.
na tamaa ya serikali
Katika hio cheki yao kuna kitu sikuelewi.
Nnacho kifahamu mm, cheki ile ya mfano ina akisi kiasi halisi cha fedha atakacho kichukua mshindi na kuwekewa kwny account.

Lakn kiuhalisia hiyo 1.2B siyo atakayo ichukua yote. Sportpesa hela ta jackpot wanayo isema huwa wanakuwa hasajaikata kodi. Kwahiyo ile jackpot wakiondoa Kodi 18% inabakia 984,000,000/= na ndio nilidhani wataandika kwny hundi.

Binafsi nimeshashida mechi 10 na 11 katika hiyo jackpot, na wanakuambia umeshinda kiasi fulani na baada ya kuondoka kodi kiasi fulani, wanakuwekea balance kwny account yako.

Sasa kuweka kiasi ambacho sio halisi kwny ile hundi ya mfano, waliomkabidhi jamaa sielewi kwann, anyway ngoja wajuzi waje waseme neno.
 
Ila mwanamke unayetumia kiungo chako kutoka kimaisha ndio una akili?

Mayweather na pesa zote alizonazo bado ana bet ndio ije kuwa fundi magari huku kajamba nani
Maisha ni kamari, mi nitaendelea bet hadi nife

Unanunua mpunga unategemea bei ipande, ikipanda ukapata faida ni bora ikifeli umepoteza
 
Katika hio cheki yao kuna kitu sikuelewi.
Nnacho kifahamu mm, cheki ile ya mfano ina akisi kiasi halisi cha fedha atakacho kichukua mshindi na kuwekewa kwny account.

Lakn kiuhalisia hiyo 1.2B siyo atakayo ichukua yote. Sportpesa hela ta jackpot wanayo isema huwa wanakuwa hasajaikata kodi. Kwahiyo ile jackpot wakiondoa Kodi 18% inabakia 984,000,000/= na ndio nilidhani wataandika kwny hundi.

Binafsi nimeshashida mechi 10 na 11 katika hiyo jackpot, na wanakuambia umeshinda kiasi fulani na baada ya kuondoka kodi kiasi fulani, wanakuwekea balance kwny account yako.

Sasa kuweka kiasi ambacho sio halisi kwny ile hundi ya mfano, waliomkabidhi jamaa sielewi kwann, anyway ngoja wajuzi waje waseme neno.
Iko hivi hiyo hela hukatwa kodi ya 15

Pia kuna asilimia 10 inaenda gaming board kwa kila Jackpot
 
Mwanaume anayebeti kwa ajili ya kutoka kimaisha anauwezo mdogo wa kufikiri.
maisha na kutoka kimaisha ni mtazamo wa mtu binafsi. Hakuna fomula ya maisha wala kutoka kimaisha. Na km fomula zipo ni unwritten.

Kuna watu wanatusua kirahisi tu wala hawatumii misuli sana. Maisha ni mtazamo wako (hasi/chanya) Jambo jema penda kile kilicho chako, Cha mwingine achana nacho sababu huyajui manufaa anayoyapata.

Dunia ingekuwaje kama tungefanana mitazamo, kazi nk.

Unaweza kumbeza anayebeti lkn pengine hata we huna lamaana zaidi ufanyalo ambalo unaweza kuonesha manufaa yake. Haya maisha fanya tu yako. Kila jambo analolifanya mwenzako ni sahihi kwake.
 
Iko hivi hiyo hela hukatwa kodi ya 15

Pia kuna asilimia 10 inaenda gaming board kwa kila Jackpot
Mm walikata only 18 kwa ushindi wa mechi 11 na 10.

Kama maelelzo yako ni sahihi, basi wanakata 25% kwann Kwenye chek wanaonyesha analipwa yote
 
Katika hio cheki yao kuna kitu sikuelewi.
Nnacho kifahamu mm, cheki ile ya mfano ina akisi kiasi halisi cha fedha atakacho kichukua mshindi na kuwekewa kwny account.

Lakn kiuhalisia hiyo 1.2B siyo atakayo ichukua yote. Sportpesa hela ta jackpot wanayo isema huwa wanakuwa hasajaikata kodi. Kwahiyo ile jackpot wakiondoa Kodi 18% inabakia 984,000,000/= na ndio nilidhani wataandika kwny hundi.

Binafsi nimeshashida mechi 10 na 11 katika hiyo jackpot, na wanakuambia umeshinda kiasi fulani na baada ya kuondoka kodi kiasi fulani, wanakuwekea balance kwny account yako.

Sasa kuweka kiasi ambacho sio halisi kwny ile hundi ya mfano, waliomkabidhi jamaa sielewi kwann, anyway ngoja wajuzi waje waseme neno.
Hiyo VAT wanakata benki, akienda kuwithdrawal
 
Back
Top Bottom