Hii gari ingawa ni ndogo but ni CC 2,000,Samahan mkuu,naweza kujua consuption ya hii gari? Napenda sana bmw
Nimeshapajua pale Mkuu, ilipokua stand kwa kule nyuma yake.Mkuu, kwanza msalimie sana huyo shemeji yetu. Mpaka umemnunulia usafiri mkali namna hii si haba atakuwa Mashallah!
Tukirudi kwenye suala la gari, ukienda pale Mwenge nyuma ya Tamal hotel huwa kuna mafundi wa kutengeneza gari za Mzugu hasa BMW, Range, Benzi and the likes. Kawacheki. But usiruhusu wachokonoe chokonoe gari. Siku hizi kuna computer (diagnostic kit) ambayo ikichomekwa kwenye system ya gari inaweza kujua ugonjwa then ndio wanatengeneza. Kupima gari kwenye computer roughly ni Tsh elfu hamsini.
Gari still ni yangu (registration), nikichapiwa nikajua basi haina noma, napiga tu chini arudi kwenye daladalasiku ukisikia umechapiwa utajuta kwann hukumnunulia vitz
Yeah,Ushauri: fanya kwanza computer diagnosis. Kuna jamaa najua wanafanya. Ukiitaji nitakupa namba.
Dah,Peleka Noble Motors Nyerere Road ndiyo dealer wa BMW na kuna mzungu wa kijerumani kwa ajili ya BMW. Ila uwe na cash maana dealer si Fundi Nyange.
Dah,Diagnosis zipo sehemu nyingi tuu siku hizi fundi yeyote wa garage ya kawaida anaweza kuku direct kwa mwenye diagnosis
Wale wazee wa mwenge usithubutu kugeuza jicho watalamba spare orijino zote pameshachafuka pale* gari za umeme mchawi diagnosis kit tuu.
Obvsly hapo lazma fundi aje na mashine yake, ss gari haiwaki utaipelekaje? Swala ni kugundua ugonjwa kutengeneza ni jambo lingine mkuuDah,
Au nimchukue mtu wa Mwenge nimlete home aitengenezee Home nikiwepo?? Na ukiacha wale wa mwenge pengine wapi tena ambako ni Watalaamu wa hizi mambo??
Kweli aisee,Obvsly hapo lazma fundi aje na mashine yake, ss gari haiwaki utaipelekaje? Swala ni kugundua ugonjwa kutengeneza ni jambo lingine mkuu
Ujue ni mara chache sana watu wenye diagnostic machine wawe wanatengeneza na magari pia, mara nyingi wao hugundua tatizo lets say labda ni "control box" atakwambia badilisha or kifaa chochote kile kama ni plug and play ataweza kukufanyia hata yy, vitu mf. Plugs or hyo control box......lakin ikiwa tatizo kubwa atakwambia mwambie fundi wako abomoe kitu flani au yeye atakuelekeza mafundi anaowajua baada ya kugundua hyo shidaKweli aisee,
Ila si umesema kwenye kutengeneza ndio hua wanapiga vifaa??
Sasa mimi hata akigundua tatizo nambana aitengenezee hapohapo
Nimekupata Mkuu wangu, ahsante sana na ubarikiweUjue ni mara chache sana watu wenye diagnostic machine wawe wanatengeneza na magari pia, mara nyingi wao hugundua tatizo lets say labda ni "control box" atakwambia badilisha or kifaa chochote kile kama ni plug and play ataweza kukufanyia hata yy, vitu mf. Plugs or hyo control box......lakin ikiwa tatizo kubwa atakwambia mwambie fundi wako abomoe kitu flani au yeye atakuelekeza mafundi anaowajua baada ya kugundua hyo shida