Fundisho kubwa Sana kwa WCB

Fundisho kubwa Sana kwa WCB

Kuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa wcb ... Viongozi wa wcb walikuwa wakimbania sana harmonize ili asimzidi Boss wake diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka ..dogo anangoma nyingi na kolabo kibao ..bora umetoka uongozi mchafu ni majanga ..
Nafikiri ni wakati wa wcb kutuletea mastaa wapya. Tumempoteza mavoko tumempoteza na harmonize ili pengo linatakiwa lizibwe. Hao waliiondoka siamini km tutawaskia tena kama mwanzo.
 
Mtoa mada akili huna yule msanii alichukuliwa na wasafi akiwa hajui hata kutaja neno malaika anasema maraika alikuwa Hana mbele Wala nyuma hiv angekuwa anabaniwa angekuwa hapo alipo Leo? unajua how much WCB wamesipend kwa ajili yake? unajua wcb wamemdefend kwa mashabiki kwa kuwa akilalamikiwa ana iga uimbaji wa boss wake.Harmonize ni msanii aliyekuwa anapigwa vita sehemu nyingi lakin management yake ya WCB ikapambana Sana lakini ndio msanii waliobrand kwa uzito mkubwa kuliko wasanii wengine wa WCB alafu Leo unaongea upuuzi Kama huu wewe subiri muda utaongea.
 
Kuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa wcb ... Viongozi wa wcb walikuwa wakimbania sana harmonize ili asimzidi Boss wake diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka ..dogo anangoma nyingi na kolabo kibao ..bora umetoka uongozi mchafu ni majanga ..
Hata Rich Mavoko alikuwa msanii mkubwa sana.
Harmonize kama kweli anatoka awe wangalifu sana. Ata hit ila sidhani kama atavuka miaka 5. Pia litakuwa somo kwa wengine.
 
Mtoa mada akili huna yule msanii alichukuliwa na wasafi akiwa hajui hata kutaja neno malaika anasema maraika alikuwa Hana mbele Wala nyuma hiv angekuwa anabaniwa angekuwa hapo alipo Leo? unajua how much WCB wamesipend kwa ajili yake? unajua wcb wamemdefend kwa mashabiki kwa kuwa akilalamikiwa ana iga uimbaji wa boss wake.Harmonize ni msanii aliyekuwa anapigwa vita sehemu nyingi lakin management yake ya WCB ikapambana Sana lakini ndio msanii waliobrand kwa uzito mkubwa kuliko wasanii wengine wa WCB alafu Leo unaongea upuuzi Kama huu wewe subiri muda utaongea.

Hili ni tatizo ambalo waajiri wote duniani wanakutana nalo, angalau wenzetu mbele huko wanawekeana vifungu vya kumbana mtu (something like bonds), unainvest kwa mtu, muda akiwa fit ili aanze kukuzalishia anakimbia.
 
Changamoto Hua Hazikos Ktk Kusaka Lyf Bt Kama Harmo Atawasikiliza Hawa Wanaotaka Ajitenge Ataumia.... Bora Ajitenge Kwa Maamuz Yake.... Coz Hawa Hawa Ndo Walimfanya Rich Ajitenge... Je? Leo Yupo Wapi Anapaswa Asome Alama Za Nyakat...
 
Ukweli ni kuwa tunahitaji watu wengi sana walio kama Diamond Platnumz na Harmonize. Industry ya Muziki wa Bongo Flavour inawahitaji kwa wingi, ili iweze kustawi na kukua.

Hivyo, Harmonize hana budi kuondoka na kujitegemea, Kama sio leo basi kesho. Lakini, ni ubinadamu wa kawaida kabisa kuondoka kwa ustaarabu kwa watu waliokusaidia, umekuwa nao kwa muda mrefu na mmefanya nao mambo mengi.

Unapoaga na kuondoka kistaarabu na kila mtu akiwa na amani na wewe, inakusaidia; kwanza, kukaribishwa tena hata ikitokea ukakwama huko uendako na pili, utaweza kushirikiana nao vizuri hata baada ya kuwa umeshaondoka.

Umoja ni nguvu. Harmonize aendelee tu kushirikiana na WCB hata baada ya kuondoka, kama atafanya hivyo. Itamsaidia sana kukua kwa haraka.

Hakuna haja ya kuondoka kwa vurugu na vita, otherwise iwe ni kutafuta kiki.
 
Kuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa wcb ... Viongozi wa wcb walikuwa wakimbania sana harmonize ili asimzidi Boss wake diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka ..dogo anangoma nyingi na kolabo kibao ..bora umetoka uongozi mchafu ni majanga ..
Katika wasanii waliotoa nyimbo nyingi mwaka huu Wasafi ni Harmonize,katoka nyimbo nne hamna msanii aliyetoa nyimbo zaidi ya nne,acha uongo kama kamua kuondoka mwache aondoke.
 
Back
Top Bottom