Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Kumbe unaamini sayansi na huamini kuwa kuna force of gravity ?Kwani mimi nimesema gravity ipo?
Gravity ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unaamini sayansi na huamini kuwa kuna force of gravity ?Kwani mimi nimesema gravity ipo?
Gravity ni nini?
Kumbe unaamini sayansi na huamini kuwa kuna force of gravity ?
Waroma 15Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.
Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.
~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?
~ Methali 8:30 ina maanisha nini?
~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?
Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Waroma 15Hakuna mtu mwenye majibu sahihi ya kukuaminisha , biblia pia haina majibu sahihi , cha msingi we mwabudu Mungu , kama we ni mkristo umeelekezwa ukiomba Kwa Mungu omba kupitia jina la Yesu , ukiona Una uhitaji wa Mungu kukusaidia jua huo ni ushawishi wa roho mtakatifu , fuata maelekezo , lakini kuanza kubishana sjui utatu mtakatifu , mara Yesu ni Mungu wala sio Mungu , utaishia kuwa confused...hakuna mwenye majibu sahihi labda Mungu mwenyewe ambaye Hana hata mpango wa kukuaminisha , yeye anasubiri Tu ufate maelekezo basi
Mkuu karibu saba kanisani kwetu. Sisi ni Wakristu tunaoitikadi Mungu ni mmoja na siyo nafsi tatu.Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.
Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.
~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?
~ Methali 8:30 ina maanisha nini?
~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?
Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Hapo kwenye red naona umeingia chaka!Inaoneka haujui utatu mtakatifu(MUNGU)
MUNGU ni kama raisi . U-Raisi umetengenezwa na vyeo vitatu raisi mwenyewe , makamu raisi na waziri mkuu
MUNGU imetengenezwa na vyeo vitatu
I - JEHOVAH (MUNGU Baba) yeye huwa haonekani
II - Yesu / Masihi ( MUNGU Mwana ) yeye ndiye kiumbe cha kwanza kuumbwa , ndo mana anajulikana kama kaka wa kila kilicho umbwa na ndiye yeye pia alishiriki katika uumbaji wa mbingu(malaika) na dunia(wanadamu)
III Roho Mtakatifu (MUNGU Roho) - Roho ya Mungu ina act kama kiumbe. Huja kwa maumbo mbalimbali - kama nguvu , kama mwanadamu , kama njiwa