Funga macho, vita picha katika fikra kwamba umeweza kuishi mpaka 2100, ni kitu gani unakiona ?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Nafunga macho naanza kuvuta picha kwamba kama ntafika mwaka 2100

1. Bangi imeruhusiwa karibu Kila nchi, ni bidhaa unayoweza kuipata hata Kwa Mangi na kutumia hadharani.

2. Jiji la dar limepanuka sana, Mlandizi pamebomolewa na kujengwa upya, maghorofa kibao

3.Smartphone zitakuwa kama kandambili, hata duka la mangi zitakuwepo
 
Naona wanaume wananuka mavi,hakuna kuvaa nguo,watu wachache dunia kwakuwa hakuna kuzaliana, kumuua mtu kama umeua mdudu kawaida, marobot ndo masela, wanaume ndo wamekuwa wa mama, na wanawake wamekuwa mababa, yani shagarabaghala, ndani ni titi nnje nititi
 
Feminists watakuwa wanajutia Baada ya kupata power waliyoitaka,
 
Wanaume watakuwa wanapanga foleni na wadada dukani...wadada wanachukua pedi wanaume wanachukua pampaz
 
Hakutakuwa na Chama kinaitwa CCM,na Mali zao zote zitakuwa zimetaifishwa
 
Nafunga macho naanza kuvuta picha kwamba kama ntafika mwaka 2100

1. Bangi imeruhusiwa karibu Kila nchi, ni bidhaa unayoweza kuipata hata Kwa Mangi na kutumia hadharani.

2. Jiji la dar limepanuka sana, Mlandizi pamebomolewa na kujengwa upya, maghorofa kibao

3.Smartphone zitakuwa kama kandambili, hata duka la mangi zitakuwepo
Coming of Jesus.....
 
Back
Top Bottom