Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli?Mbona mle nilikutongoza live
Serious,ulikuwa penzin Ivo hukutilia maananiKweli?
Mimi sijapata hiyo fursaMbona tulishaanza kitambo
Bado kidogo tuMimi sijapata hiyo fursa
Nitongoze basi na mimi nijione mwenye bahatiBado kidogo tu
Aisee umemaliza. Kweli kabisa hujakosea. Its what its coming. Binafsi sitaman kufika hizi nyakati ni heri masihi arudi mapema kwakweliBaada ya kufunga macho naanza kutembea.
1.siasani
Naona ikulu ina chama kipya ila sio moja ya hivi tulivyonavyo.Nimepitia hapa kijiwe kimoja maarufu naona wazee wa heshima wanapiga story huku nyuso zao zikionyesha hudhuni kidogo kwa wanachosimulia...ebu subili kidogo..nimewatambua wazee wawili hapa ni mzee zito kabwe anaonekana kulaumu vijana kwa kuwa midebwedo kisiasa huku akiwasimulia enzi zake alivyokuwa moto japo hana meno kwa uzee lakini bado anaonekana kujiamini.Vijana kadhaa hapa wa chama cha upinzani cha ccm wanaonekana kumsikiliza kwa makini huku wakitupoa vijimaneno vya lawama kwa chama tawala kwa kupata wabunge watatu pekee nchini.Namvuta pembeni kijana mmoja namuuliza kama anaifahamu chadema,lahaulaa!anadai aliwahi simuliwa kuwa babu zake kuwa kulikuwa na chama kama hicho hapo zamani.
2.Nikaondoka kuelekea kwenye vifaa vya electronic.
-Naingia hapa dukani....ooop! Nasimamishwa na roboti hapa inaniskani na kuniuliza maswali kadhaa...loo!ndugu wasikilizaji mambo makubwa haya kwenye hii roboni inanionyesha hadi ndani ya utumbo chakula nilichokula kabla sijasafiri kwenda 2100.Nimeruhusiwa sasa naingia ndani....ndugu wasikilizaji naona kila mtu ananishangaa hapa kwani nimevaa suruali ambazo haziko tena maana naona wamevaa kama bukta hivi lakini ni fupi sana na wasichana naona wameficha tu 'k' lakini naona kalio lote njee kabisa.Najisogeza kishingo upande kuona vifaa kwa kweli kuna vifaa vingi sana na nitawasimulia vichache,
naona hakuna tena simu hizi za 2022 naona kifaa mfano wa simu lakini kipo tofauti kidogo lakini kinatumia kwa kazi nyingi naona mawasiliano,kuendeshea vifaa vya kilimo,roboti za kila aina,kuskania watu miongoni mwa kazi nyingine.Baada ya kuona simu aina hiyo ikanilazimu kutoka njee mara moja nione minara itakuwaje...lahaula sioni mnara hata mmoja naulizia hapa naambiwa ni seterite tu zinatumika,basi najikongoja kuingia tena ndani japo ninunue moja,natoa kibunda nilichotoka nacho 2022..oop.hawapokei kesji tena ni mwendo wa mtandao tu.Nakaa pembeni kwa masikitiko hapa...hebu subili..naona kijana hapa anaweka tu kidogo mezani,naona kioo chenye scana juu ya meza huyu kijana ameweka kidole,namuuliza kijana hapa ananiambia kila mtu kwenye kidole ana 'micro-chip'ambayo ina taarifa zake zote kuanzia utambulisho hadi mauala mengine yakiwemo ya fedha,nachomoa kadi yangu ya benki kumwonyesha kama hizi bado zipo,ebwaaana eee,anadai hajui ni kitu gani hiki.oohoo moyo unaanza kudunda napata wapi pesa nikikwama huku,namuuliza kama kuna benki yoyote,naambiwa kuna benki moja tu ambayo ndiyo inaratibu masuala yote ya fedha ni mwendo wa digital pekee.Naanza kukata tamaa ya kuendelea maana huenda nikakwama huku.
3.Nimetoka hapa kwa msaada wa msamalia kupata usafiri kunipeleka katavi kupitia kigoma.naambiwa stesheni hapa kuna watu wa katavi,mwanza,mtwara wanafanya kazi hapa dar na kurudi kwenye mikoa tajwa hapo,nashangaa huku nikiingia kwenye treni kiwoga woga....tupo kati kati ya safari hapa naona kitu cha ajabu hapa matrekani nayaona kwenye mashamba umbali kidogo,naambiwa hayana dereva bali ni coordinarate tu zinatumika, daa nimeghaili atumwe mwingine nitaenda siku nyingine.